Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASHAUZI CLASSIC YAPANIA KUITEKA MOROGORO X-MAS

Kundi zima la Mashauzi Classic chini yake Isha Mashauzi, litafanya utambulisho wa wimbo wao mpya “Sura Surambi” kwa wakazi wa Morogogo Disemba 25 kwenye maadhimisho ya siku ya Christmas. 
 Mkurugenzi wa Mashauzi Classic, Isha Ramadhani maarufu kama Isha Mashauzi (pichani juu), ameuambia mtandao huu kuwa onyesho hilo litafanyika ndani ya ukumbi wa Savoy Hotel na watasindikizwa na mfalme wa kigodoro Msaga sumu. 
 Isha amesema “Sura Surambi” ni ngoma yao mpya kabisa iliyoachiwa ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MZEE YUSSUF NA ISHA MASHAUZI WATHIBITISHA RASMI MTANANGE WA JAHAZI NA MASHAUZI CLASSIC

Hatimaye wakurugenzi wa Mashauzi Classic na Jahazi Modern Taarab, wamefanya mkutano na waandishi wa habari na kuthibitisha kuwepo kwa onyesho la pamoja la makundi hayo yenye nguvu katika muziki wa taarab.
 Onyesho hilo litafanyika mwezi huu Jumapili tarehe 22 ndani ya ukumbi wa Travertine Hotel Magomeni. Mkurugenzi wa Jahazi, Mzee Yussuf na mkurugenzi wa Mashauzi Classic, Isha Ramadhan maarufu kama Isha Mashauzi, wamesema siku hiyo hatumwi mtoto dukani. 
 Wakiongea katika mkutano huo wa...

 

11 years ago

GPL

MASHAUZI CLASSIC YATIMIZA MIAKA MITATU

Keki iliyoandaliwa kwa ajili ya sherehe hiyo ya kutimiza miaka mitatu. Ndugu pamoja na marafiki wa Isha wakikata keki kwa pamoja.…

 

11 years ago

GPL

MASHAUZI CLASSIC YAPAGAWISHA MASHABIKI NDANI YA MANGO GARDEN

Kiongozi wa Mashauzi Classic, Isha Makongo (kulia) akiliongoza kundi lake kutoa burudani. Isha akiserebuka na wacheza kiduku wake.…

 

9 years ago

Michuzi

MASHAUZI CLASSIC KUZINDUA ALBAM YA “SURA SURAMBI” NOVEMBA 26 MANGO GARDEN

Hatimaye albam ya “Sura Surambi” iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa taarab, inazinduliwa Alhamisi hii Novemba 26.
Albam hiyo kutoka kwao Mashauzi Classic, itazinduliwa ndani ya ukumbi wa Mango Garden Kinondoni huku kundi kongwe la taarab East African Melody, likizindikiza tukio hilo kubwa.
Mkurugenzi wa Mashauzi Classic, Isha Mashauzi ameuambia mtandao huu kuwa albam ya “Sura Surambi” inaundwa na nyimbo sita kali.
Ni Alhamisi ya kihistoria ambayo Isha ...

 

9 years ago

Michuzi

MASHAUZI CLASSIC KUZINDUA ALBAM MPYA LEO USIKU MANGO GARDEN

Leo usiku ndani ya ukumbi wa Mango Garden Kinondoni kutakuwa na tukio kubwa la kiburudani ambapo Mashauzi Classic Modern Taarab, watazindua albam yao mpya ya “Sura Surambi”.
Uzinduzi wa albam hiyo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa, utasindikizwa na kundi kongwe la taarab - East African Melody. Mkurugenzi wa Mashauzi Classic, Isha Mashauzi ameiambia JAMBO LEO kuwa albam ya “Sura Surambi” inaundwa na nyimbo sita kali.
Isha amezitaja nyimbo hizo kuwa ni pamoja na “Sura Surambi” ...

 

10 years ago

Michuzi

JAHAZI MODERN TAARAB NA MASHAUZI CLASSIC JUKWAA MOJA MACHI 22 …ni Usiku wa Baba na Mwana

Hatimaye makundi mawili yanayoaminika kuwa na mashabiki wengi zaidi katika taarab, Jahazi Modern Taarab na Mashauzi Classic yatafanya onyesho la pamoja mwezi ujao.Onyesho hilo litafanyika Travertine Hotel Magomeni jijini Dar es Salaam, Jumapili ya tarehe 22 mwezi Machi.Hii inakuwa ni mara ya pili kwa makundi hayo mawili kufanya onyesho la pamoja (bila kushirikishwa makundi mengine).Onyesho la kwanza lililopewa jina la Usiku wa Baba na Mwana lilifanyika miaka minne iliyopita ndani ya ukumbi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani