Mashauzi kusambaza ‘Asiyekujua Hakuthamini’
MWIMBAJI nyota wa miondoko ya taarab nchini, Isha Ramadhani ‘Isha Mashauzi’, anatarajia kuanza kusambaza albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Asiyekujua Hakuthamini’ hivi karibuni. Isha Mashauzi ambaye alitamba vilivyo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-aMZYI63gCX4/VP32rRWRhmI/AAAAAAAHJOM/QB8NDRmZXCk/s72-c/press%2Bpic.jpg)
MZEE YUSSUF NA ISHA MASHAUZI WATHIBITISHA RASMI MTANANGE WA JAHAZI NA MASHAUZI CLASSIC
Onyesho hilo litafanyika mwezi huu Jumapili tarehe 22 ndani ya ukumbi wa Travertine Hotel Magomeni. Mkurugenzi wa Jahazi, Mzee Yussuf na mkurugenzi wa Mashauzi Classic, Isha Ramadhan maarufu kama Isha Mashauzi, wamesema siku hiyo hatumwi mtoto dukani.
Wakiongea katika mkutano huo wa...
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Shakila kumsindikiza Mashauzi
MWIMBAJI mkongwe wa taarabu, Shakila Said, anatarajiwa kumsindikiza Isha Ramadhan ‘Isha Mashauzi’ katika onyesho maalumu la kumpongeza mshindi huyo wa tuzo mbili za muziki huo nchini. Onyesho hilo linatarajiwa kufanyika...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-k5VvNqLIUZg/VUje_u-nMuI/AAAAAAAHVjA/m59f4Vx7jM0/s72-c/download.jpg)
Isha mashauzi apigwa kabali
![](http://2.bp.blogspot.com/-k5VvNqLIUZg/VUje_u-nMuI/AAAAAAAHVjA/m59f4Vx7jM0/s1600/download.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qHkXSNTTQ9eOWtH-Ncbz84LYNtKg9TCJUujX-Cv*405Dp2oRcuufJUNu9pTRIKao5RnCZQEIWRf8*5dDIMOpU9asegLXYXG2/BACK.jpg?width=650)
TEVEZ WA MASHAUZI AFANYA DUA
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
Isha Mashauzi anapowabeba Yatima
NI wanamuziki wachache wanaotoka katika kundi na kwenda kufanya kazi pekee (Solo Artist) na kufanikiwa, kwani wengi wao huishia kusikojulikana, lakini wenye kujiamini na kujitambua kipaji alicho nacho katika fani...
9 years ago
Bongo509 Dec
Music: Isha Mashauzi – Jiamini
![isha Mashauzi](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/isha-Mashauzi-300x194.jpg)
Mwimbaji bora wa kike wa taarab Isha Mashauzi, amezidi kudhihirisha kuwa yuko vizuri hata nje ya taarab baada ya kuachia ngoma yake mpya inaitwa “JIAMINI” iliyoko katika miondoko ya zouk rumba.
Studio za Soft Records chini ya producer Pitchou Mechant,
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
GPLMASHAUZI CLASSIC YATIMIZA MIAKA MITATU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aGsIBoQ0cKndiz1lxtCFcTdABqNz5XlDV0n-J3*W4fO7bMLbSzrnW8K0aWS0pGHwUMWD10GeL1MDfFGBtGvRL9-18kzRee7W/isha.jpg)
AL-SHABAAB WAMVAMIA ISHA MASHAUZI KENYA
10 years ago
GPL24 Sep