MASOGANGE ANASWA NA BWANA WA JACK
![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoOTouWujElnPBlxfZqPjV67xIL85BYQh6nqC7Ti7z6B2BmPlJ00qrrHSutggRW-FSWRpFIcVfWCMHbw*Cno2s3HZ/masogange.jpg?width=650)
Na Mwandishi Wetu VIDEO Queen, Agnes Jerald ‘Masogange’ hivi karibuni alibambwa maeneo ya Sinza Kamanyola jijini Dar akijiachia na anayetajwa kuwa ni mpenzi wa Jack Patrick, Juma Khalid ‘Jux’. Masogange akipozi na Jux. Wawili hao walibambwa kwenye duka moja lililopo maeneo hayo baada ya Jux kutua kutoka China huku Agnes akionekana kama anayemfariji kwa tukio la Jack kunaswa na madawa ya kulevya. Jux...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMASOGANGE ANASWA AKIKATA MAUNO
10 years ago
GPLMTOTO WA JACK CHAN ANASWA NA BANGI
10 years ago
VijimamboMWENYEKITI WA TAWI LA CCM NY BWANA SELF AKIDA AENDA KUTOA POLE NYUMBANI KWA BWANA KIBODYA.
Nyumbani kwa Bwana Isaac Kibondya akiongea na watu walioenda kumpa pole nyumbani kwake baada ya kufiwa na mkwe wake, Kifo kimetokea huko Tanzania siku ya Tarehe July, 16. Marehemu ni mzazi wa Mke wa Bwana Kibodya na Kama inakumbukwa wote walikuwa Tanzania kumuona marehemu akiwa anaumwa mwezi uliopita.
Mwenyekiti wa tawi la CCM New York bwana Seif Akida pamoja na Ny Ebra wote kutoka New York wakiwa nyumbani kwa bwana Kibodya Vail, Springfield. MA kutoa pole.
10 years ago
Dewji Blog12 Sep
Mashabiki wa Skylight Band kusheherekea Birthday ya Mr. Jack’s huku wa wakikaribishwa na SHOT za Jack Daniel’s leo
Mpango mzima unahisika kwa usiku wa leo pale Thai Village.
Vijana watanashati wa Skylight Band wakimsindikiza Sam Mapenzi (wa pili kuhsoto) kutoa burudani ya Live Music kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam, huku usiku wa leo wataungana na mashabiki wake kusheherekea Birthday Mr. Jack’s huku mlangoni wakipata SHOT za Jack Daniel’s kusindikiza usiku huo.
Divas wa Skylight Band wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band Ijumaa...
10 years ago
Dewji Blog15 Sep
Wema Sepetu amwaga mijihela usiku maalum wa birthday ya Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s uliopambwa na Skylight Band
Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji mvinyo na vinywaji vikali kikiwemo kinywaji cha Jack Daniel’s akitoa maelezo ya kinywaji cha Jack Daniel’s kwa mashabiki wa Skylight Band waliokuwa wakikaribishwa na SHOT za Mr. Jack’s kwenye usiku maalum wa kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s.
Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji kinywaji cha Jack Daniel’s akizungumza na mashabiki wa Skylight Band kuhusina na...
10 years ago
Mwananchi24 Dec
Tibaijuka: Bwana alitoa, bwana ametwaa
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/09/DSC_01591.jpg)
MASHABIKI WA SKYLIGHT BAND KUSHEHEREKEA BIRTHDAY YA MR. JACK’S HUKU WA WAKIKARIBISHWA NA SHOT ZA JACK DANIEL’S LEO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9pVNH1qXqqx0xO34xAtUEnk9M9973FA79fbgw0P5CD71V4UCEQ4J6am8buEeW3OcSYpi1J2VFu5vPfBE7XavEtHXWxWOKEJU/1.jpg?width=650)
MASOGANGE...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0JM2umRWL9erppDZQqfBarRBGdHEf597XXHNnb0jgJtxxlY2mO-uiizj5Wz2mAlDje2fFVKGrlKLLhWQGJaOQa5Fbe-Uhr*7/2D6E13C5000005783273151im.jpg?width=650)
LUNGI AMLIPUA MASOGANGE