MASOGANGE ANASWA AKIKATA MAUNO
Video Queen Agnes Jerald ‘Masogange’akikata mauno. Stori: Imelda Mtema BAADA ya kujificha muda mrefu tangu atoke mahabusu nchini Afrika Kusini kwa msala wa madawa ya kulevya, Video Queen Agnes Jerald ‘Masogange’ amenaswa ‘live’ akikata mauno huku akipewa kampani na mtoto mdogo nyuma yake. Agnes Jerald ‘Masogange’ akiwa nyumbani kwa Salma Jabu ‘Nisha’,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FsV0PLw632pTew0GeZhNZyiFTxPNbthymQqrkzcC07UU0Z5d-bWU-haL5J8INf-IXUXACruMdV-ySxhwY-UQaSxNElx6uFYT/2.jpg?width=650)
SHIJA ANASWA AKIKATA MAUNO
Na Hamida Hassn na Glaness Mallya STAA wa filamu za Kibongo, Deogratius Shija ‘Shija’ alinaswa akiyakata mauno kama hana akili nzuri. Staa wa filamu za Kibongo, Deogratius Shija ‘Shija’ akikata mauno. Tukio hilo lilitokea wiki iliyopita nyumbani kwa mwigizaji Aunt Ezekiel kulipokuwa na sherehe ya mtoto kutimiza siku arobaini tangu kuzaliwa ambapo staa huyo alidaiwa kufanya hivyo akiwa na ‘akili...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/P0y0X6852Mc/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoOTouWujElnPBlxfZqPjV67xIL85BYQh6nqC7Ti7z6B2BmPlJ00qrrHSutggRW-FSWRpFIcVfWCMHbw*Cno2s3HZ/masogange.jpg?width=650)
MASOGANGE ANASWA NA BWANA WA JACK
Na Mwandishi Wetu
VIDEO Queen, Agnes Jerald ‘Masogange’ hivi karibuni alibambwa maeneo ya Sinza Kamanyola jijini Dar akijiachia na anayetajwa kuwa ni mpenzi wa Jack Patrick, Juma Khalid ‘Jux’. Masogange akipozi na Jux. Wawili hao walibambwa kwenye duka moja lililopo maeneo hayo baada ya Jux kutua kutoka China huku Agnes akionekana kama anayemfariji kwa tukio la Jack kunaswa na madawa ya kulevya. Jux...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/L0tVKbTxNvs/default.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ge9WkNua4TrIj1XiuyTi-iv6DWHXHXZPe0B*lBsmG5H*MSdeEdTRBvMaMXfJk*IQ6vci1GyBXc1nRGB9k6vPsqtozGTAcb9H/Mastaa.jpg)
MASTAA WAKATA MAUNO MBELE YA JK
Mwandishi wetu Acha kabisa! Baadhi ya mastaa wa sinema na muziki Bongo, wamejiachia na kujikuta wakikata mauno mbele ya Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete aliyekuwa mgeni rasmi aliyeambatana na Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Asha-Rose Migiro hali iliyozua minong’ono kwa waalikwa. soma zaidi===>http://goo.gl/REn7EC
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6YGdF39uDFk2RKi5-DIml-4oK1yAenLMwhDMkYb3lshhgdhts3i5LT9NAhlvzyxBl12jQ-cvP0v2BjMuq94iDFt/flora.jpg?width=650)
FLORA AFUNIKA KWA MAUNO
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Flora Mvungi amenaswa akiwafunika vibaya mastaa wenzake kwa kunengua. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Flora Mvungi. Mpambano huo usio rasmi ulichukuwa nafasi wiki iliyopita katika Ukumbi wa New Maisha, Masaki jijini Dar ambapo kulikuwa na shoo maarufu kwa jina la Bunyerobunyero. Flora alipoulizwa na mwanahabari wetu juu ya ufundi huo wa kucheza Kibao Kata kilichokuwa kikipigwa na kuwazidi mastaa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/O3p1FaWf5AeoMEAVJumNNktIBTmUcsLvcmbPTmGyHLnWFstogeQoZKpQvWJL5n5HvTw0jG2dILgEkJRj8KSQrqBkPGbzmMZh/amanda.jpg?width=650)
VIDEO YA MAUNO YAMTESA AMANDA
Gladness Mallya
VIDEO inayomuonyesha msichana anayefanana kwa sura na umbo na staa wa filamu, Amanda Poshi, imemfanya msanii huyo ajikute katika mateso makubwa kisaikolojia, kwani wengi wanaamini ni yeye. Staa wa filamu za kibongo, Amanda Poshi. Akizungumza na gazeti hili, Amanda alisema ameumizwa sana na video hiyo ambapo mwanamke huyo anakata mauno ya haja kwani imesambaa sehemu mbalimbali kiasi cha baadhi ya watu kuwapigia...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wjLHhX7eljyzQQmD6ojS7pZWLrCl-7wOut0YGtJ0IoVWsb-cWSAivCyH7h4J52etHjGf-*EuRggXuI8Rq8h3I6O92iEtwf74/davinacopy.jpg?width=650)
DAVINA, CATHY WASHINDANA KUKATA MAUNO
Hamida Hassan MASTAA wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ na Sabrina Rupia ‘Cathy’ walinaswa wakishindana kuyakata mauno vilivyo katika sherehe ya kibao kata kiasi ambacho wahudhuriaji wote walipata wakati mgumu kuamua nani mshindi kati yao. Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Mango Garden jijini Dar es Salaam ambapo wasanii hao walikuwa wamekwenda kwenye sherehe ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2qI9QjpEOxz568tnawBVMjQjv9bDa*0qESELR71DzHenXTfbh6Nbk9TfeVAi7mEBMFcOCQzP8HZn0NkGU3zJIikm1xA4*U*2/bongo1.jpg?width=650)
BONGO MUVI WAFUNIKA KWA MAUNO
Stori: Shakoor Jongo na Emelder Tarimo MASTAA wa kike katika tasnia ya filamu Bongo Sabrina Rupia ‘Cathy’, Salma Salim ‘Sandra’ na Rose Ndauka juzi walikuwa kivutio kwa wananchi waishio maeneo ya Kinondoni jijini Dar baada ya kushindana kuzungusha nyonga. Staa wa filamu Bongo Sabrina Rupia ‘Cathy’. Mastaa hao walifanya tukio hilo katika sherehe za kuwasimika ukamanda wa vijana Tawi la...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania