Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Massangwa apendekezwa kumrithi Askofu Dk. Leizer


NA LILIAN JOEL, ARUSHA
WAJUMBE  wa Halmshauri Kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Kati, wamependekeza jina moja la mchungaji Solomon Massangwa kuwa Askofu wa kanisa hilo.
Uamuzi huo ulifikiwa juzi usiku katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa shule ya sekondari ya Peace House iliyoko kata ya Matevesi wilayani Arumeru mkoani Arusha.
Habari kutoka ndani ya kikao hicho zilisema kuwa, jina la Mchungaji Massangwa, ambaye alikuwa Kaimu Mkuu wa Dayosisi...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

‘Tuna imani na Askofu Massangwa’


NA LILIAN JOEL, ARUSHA
WAUMINI wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Kati, wamesema  Askofu Mteule Solomon Massangwa ni chaguo la Mungu na hawana shaka naye.
Massangwa alichaguliwa juzi, kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo baada ya kupata kura 261 kati ya kura 263, sawa na asilimia 99.98 na msaidizi wake,  Mchungaji Gidion Kivuyo alipata kura 242 kati ya kura 263.
Uchaguzi huo ulifanyika juzi, katika Shule ya Sekondari Peace House iliyoko Kata ya Mtevesi wilayani,...

 

10 years ago

Michuzi

Nyalandu ahudhuria ibada ya kumweka wakfu Askofu Massangwa jijini Arusha

 Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akipunga mkono kusalimia katika ibada ya kumweka wakfu Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania(KKKT)Dayosisi ya Kaskazini Kati,Solomon Massangwa jana kwenye Usharika wa Kimandolu. Viongozi waliohudhuria ibada hiyo katika Usharika wa Kimandolu,kutoka kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu,Mkuu wa mkoa wa Simiyu,Eraston Mbwilo,Balozi wa Tanzania nchini Nigeria,Daniel Ole Njolay na Waziri Mkuu mstaafu,Frederick Sumaye.

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Shein apendekezwa kupeperusha bendera ya CCM Urais visiwani

>Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar imepitisha azimio la pamoja la kumtaka Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kujitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais uchaguzi unaotarajia kufanyika mwaka huu,imefahamika Visiwani humo.

 

5 years ago

Michuzi

ASKOFU MSAIDIZI EUSEBIUS NZIGILWA ATEULIWA KUWA ASKOFU MPYA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francisco amemteua Askofu Msaidizi Eusebius Nzigilwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Mpanda.

 

11 years ago

Michuzi

Hafla ya kumuaga Askofu wa jimbo la katoliki Dodoma,Mhashamu Baba Askofu Gervas John Nyaisonga yafana sana

Mamia ya wakotiliki wamejitokeza kumuaga Askofu wa jimbo la katoliki Dodoma,Mhashamu Baba Askofu Gervas John Nyaisonga ambaye anahamia Mpanda kwa ajili ya kuendelea na kazi Dini.Sherehe hiyo iliyotanguliwa na Ibada ilifanyika katika Kanisa kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mkoani Dodoma.
Mgeni rasmi katika sherehe hiyo ambayo alikuwepo Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pina,alikuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki hapa nchini,Mwadhama Polcarp Kardinal Pengo. Pia sherere hiyo ilihudhuriwa na Askofu...

 

11 years ago

GPL

HAFLA YA KUMUAGA ASKOFU WA JIMBO LA KATOLIKI DODOMA,MHASHAMU BABA ASKOFU GERVAS JOHN NYAISONGA YAFANA SANA ‏

Kiongozi wa kanisa Katoliki hapa nchini Mwadhama Polcarp Kardinali Pengo (kulia) akipeana mkono na Askofu Gervas John Nyaisonga. Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akibusu Pete ya Kiongozi wa kanisa Katoliki hapa nchini Mwadhama Polcarp Kardinali Pengo.…

 

10 years ago

Michuzi

Askofu Dk. Charles Gadi atawazwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote Tanzania, atunukiwa shahada mbili za udaktari Bagamoyo

 Maaskofu kutoka nchi mbalimbali wakiwasili katika viwanja vya Kanisa la Habari Njema kwa Wote, lililopo mpakani mwa Dar es Salaam na Bagamoyo, ambako kulifanyika sherehe za kumtawaza na kumtunuku shahada mbili za udaktari Askofu Dk. Charles Gadi Jumapili

Moja ya kikundi cha kwaya ambazo zilitumbuiza katika hafla hiyo.


 Askofu Gadi akisimikwa na Maaskofu mbalimbali kutoka nje na nchini Jumapili

 Askofu Gadi akivikwa kofia kuashiria kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Dk. Nchimbi kumrithi Mwigulu

MWELEKEO mpya wa mchakato wa Katiba mpya, adhabu kwa wagombea walioanza mbio za kusaka urais unatarajia unatarajia kujulikana leo baada ya kumalizika kwa kikao cha Kamati Kuu (CC), ya Chama...

 

10 years ago

Habarileo

Mbio za kumrithi Kikwete zanoga

Charles Makongoro NyerereWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Profesa Mark Mwandosya (65) na Mbunge wa Afrika Mashariki, Charles Makongoro Nyerere na Balozi mstaafu Ali Karume, jana waliungana na makada wengine wa CCM, kutangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, kwa lengo la kuiongoza Serikali ya Awamu ya Tano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani