Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASTAA BONGO WALIOKUWA MARAFIKI KABLA YA USUPASTAA

Nando na Godzillah. NANDO NA GODZILAH hawa wawili walimaliza kidato cha sita darasa moja, wakichukua ‘combination’ moja ya HKL na wakicheza pamoja kabumbu la shule. Darasani, madawati yao yalikuwa kwenye kona mbili za darasa. Lord eyes na G-nako. Kuimba, mpira na maisha ya kwenye televisheni yamekuja tu kutokana na juhudi binafsi. Mpaka leo hawa ni washkaji wa nguvu, wafuate kwenye mitandao ya kijamii ujionee....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Mastaa wa Bongo waliokuwa na ushawishi zaidi kwenye mitandao ya kijamii — 2014

Kampuni ya masuala ya teknolojia ya AF Group Tanzania imetoa orodha ya mastaa waliokuwa na ushawishi zaidi kwenye mitandao ya kijamii nchini. Methodology: Fan-base sum on Twitter, Facebook & Instagram in ‘000s). Hii ndio orodha yenyewe: 1. Nasib Abdul Juma @diamondplatnumz (score: 1,045) 2. Wema Sepetu @wema_sepetu (score: 653) 3. Millard Ayo @millardayo (score: 645) […]

 

9 years ago

MillardAyo

Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha)

Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki magari makali Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]

The post Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

GPL

JARIDA LA FORBES LIMEMTANGAZA BEYONCE KAMA 'MOST POWERFUL CELEBRITY IN THE WORD' KATI YA MASTAA 100 WALIOKUWA KWENYE LIST YAO.

Kwa mujibu wa Forbes magazine, Beyonce anashikilia rekodi ya mkwanja mrefu akimfunika hadi mumewe Jay Z na mastaa wengine kama Oprah Winfrey,Rihanna na wengine ambao wako kwenye list chini hapo.Angalia orodha ya mastaa 10 wenye utajiri mkubwa na kiasi walichovuna kutoka mwezi June mwaka 2013 mpaka June 2014 ..

1. Beyonce: $115million
2. LeBron James - $72million,
3. Dr. Dre - $620million
4.Oprah Winfrey-  $82million
5....

 

11 years ago

GPL

UFUSKA WA MASTAA BONGO

Stori: Shakoor Jongo na Musa Mateja NI laana! Baadhi ya mastaa wamenaswa laivu wakifanya vitendo vilivyotafsiriwa kuwa vya kifuska, Ijumaa Wikienda lina mkanda kamili. Baadhi ya mastaa wakionyeshana ufundi wa kucheza. Tukio hilo lilijiri kwenye Ukumbi wa Letasi Lounge uliopo maeneo ya Victoria, Dar wikiendi iliyopita ambapo kulikuwa na Kibao Kata cha mtoto wa mjini, Rose Alphonce Nungu ‘Muna Love’.… ...

 

10 years ago

GPL

MASTAA NA UPEPO WA KISIASA BONGO!!!

Na Hamida Hassan
Kuanzia Jumamosi iliyopita, viongozi mbalimbali wamekuwa wakijitokeza na kutangaza nia ya kugombea nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).Hakika idadi ni kubwa lakini mwisho wa siku lazima apatikane mmoja ambaye atachuana na mgombea kutoka Ukawa. Rose Ndauka. Kutokana na hilo, mastaa wa hapa Bongo nao wamekuwa sehemu ya kutangaza nia kwa waheshimwa hao kwani wapo walioonesha wazi kuwa wanamuunga...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WAJIENGUA BONGO MUVI

Stori: Hamida Hassan na Imelda Mtema
HALI bado tete! Siku chache baada ya Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kujiuzulu, upepo mbaya unaendelea kuitafuna klabu hiyo ambapo sasa wasanii wengine watano wamejiengua, Risasi Mchanganyiko linakupa mchapo kamili. Msanii wa filamu Bongo, Halima Yahya ‘Davina’. Kutokana na wasanii hao kujitoa, klabu hiyo inaonekana...

 

11 years ago

GPL

MASTAA BONGO WAPEWA SOMO

Stori: Mwandishi Wetu
MWIGIZAJI wa filamu aliyekuwa akifanya shughuli zake katika nchi mbalimbali Afrika na Ulaya, Adili Matontu amewapa somo waigizaji wa Bongo kwa kuandaa kazi zenye ubora wa kimataifa. Akizungumza na mwandishi wetu, Adili ambaye ni mtanzania, amesema kwa muda mrefu amekuwa akilitazama soko la filamu Bongo likishindwa kuvuka mipaka na tatizo kubwa likiwa ni ubora wa kazi na uhalisia hivyo akaona aoneshe mfano...

 

10 years ago

Vijimambo

Mastaa wa Bongo Movie ni “Masnichi”

“Nawapenda sana Bongo Movie lakini chakusikitisha vile vichwa mnavyoviamini kwenye tasinia ndo masnichi wakubwa simtoke huko tafuteni kazi nyingne kama hamjasoma kama mimi jifunzeni kushona nguo kama mimi me sahivi na fundi wangu Mgece naingia class asubuh najioni nimeshachoka kutumikishwa na Wahindi ....kipaji changu kingine mitindo so najisogeza kwenye mitindo mbali mbali sio kubanana sehemu ambapo ampendani kazi majungu nakusnchiana kila siku .. Nawahindi awatetereki maana hao mnaowaita...

 

10 years ago

GPL

MASTAA BONGO MUVI NJAA TUPU!

Waandishi wetu
Imevuja! Uchunguzi uliofanywa na Ijumaa Wikienda umebaini kwamba mastaa wengi wa sinema za Kibongo wapo katika hali ngumu kiuchumi kutokana na soko la filamu kudorora huku wizi wa kazi zao na kusitishwa mikataba yao na makampuni makubwa ya usambazaji vikichangia.
Uchunguzi huo umebaini kwamba moja ya makampuni yaliyositisha mikataba ya wasanii ni Steps Entertainment ambao wamesababisha mastaa kibao kushindwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani