MASTAA WALONGA NA MASHABIKI WAO DAR LIVE
Mastaa wa filamu Bongo, Dk. Cheni (kushoto), Wastara Juma (katikati) na Mzee Chilo (kulia) wakitoa burudani juu ya steji ya Dar Live. Mwigizaji Wastara Juma akiongea na mashabiki wake wa Dar Live.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qUZbsOiEeqlMQzwO*2elVxLUhjXXmv0ClJHJi3w*f2AYdEJ5LQmd0tohWKG90DIkJyNcRbrb-Po0pF9usymmqDoQM5atq1Kb/MASTAA.jpg?width=650)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KtF8hZpsH-0RpoJEv8eKsmtr-UtkiBihBIdWNToEz8KDFGDpBMT*oLFIZcwVud7oSu15nteKozgaN5OVtWo5XA7JtmG64bQd/mastaa.gif?width=650)
MASTAA KUFURIKA... DAR LIVE SIKU YA KRISMASI
Na Mwandishi wetu
BURUDANI juu ya burudani! Mastaa mbalimbali wa filamu wanatarajiwa kufurika kwa wingi ndani ya Ukumbi wa Dar Live Mbagala-Zakhem jijini Dar, siku ya Krismasi katika tamasha maalumu lililopewa jina la Mtoko wa Mastaa, likiambatana na shoo ya nguvu yenye mchanganyiko wa Bongo Fleva, Hip Hop na Taarabu kutoka kwa wasanii nguli wa miondoko hiyo. Wema Sepetu. Siku hiyo, mashabiki watapata nafasi ya kupiga picha...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I0fvYV0V5N6MV63uo1dXoD4DqmtsC6d55-Iio1kAOiQ3tPo9lG8WkLy*9FeCMwkvoOyNqN7l1EDHrR0DSZKPqibhfvvRiRI-/TWANGAPEPETA1.jpg?width=650)
TWANGA YAWASHIKA MASHABIKI DAR LIVE
Waimbaji wa bendi hiyo Kalala Jr (kushoto) na Pentagon wakiimba kwa pomoja. Kalala Jr akirap katika makalio ya mmoja wa wanenguaji wa bendi hiyo.…
11 years ago
GPL11 years ago
GPLJAHAZI YAPAGAWISHA MASHABIKI DAR LIVE
   Hadija Yusuf akiimba stejini.    Mzee Yusuf akitoa burudani kwa mashabiki.  Mashabiki waliofurika ukumbini hapo…
11 years ago
GPLAMIN, LINAH WAKIPAGAWISHA MASHABIKI DAR LIVE
Wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Amin Mwinyimkuu 'Amin' na Esterinah Sanga 'Linah' wakifanya vitu vyao stejini ndani ya Dar…
11 years ago
GPLLEILA RASHID AKIWADATISHA MASHABIKI WA DAR LIVE
Mwimbaji wa Jahazi Modern Taarab ambaye pia ni mke wa Mzee Yusuf, Leila Rashid akiwapagawisha maelfu ya mashabiki waliofurika katika Uwanja wa Burudani wa Dar Live usiku huu.…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FqkiRUfegChdUAkPJgssFJUWWStjNznpZy6xXFoPIPstJtSStdu2kAigPoJkksrJ0CCoCLc1On9JLcvMGA27pArYDHmlzpJV/DARLIVEMKESHAWAMWAKAMPYA201411.jpg?width=650)
MASHABIKI WAJINYAKULIA ZAWADI ZA MWAKA 2014 DAR LIVE
Baadhi ya zawadi za mashabiki zikiwa tayari kutolewa kwa washindi. Meneja Mkuu wa Global Publishers Ltd, Abdallah Mrisho (kulia) akimkabidhi mshindi wa zawadi ya simu aina ya Nokia, Said Shija.…
11 years ago
GPL01 Jan
SNURA AWAPAGAWISHA MASHABIKI KWA MAUNO DAR LIVE
Mwanadada Snura Mushi 'Mamaa Majanga' usiku wa kuamkia leo amewapagawisha vilivyo mashabiki wa Dar Live baada ya kudondosha bonge la shoo sambamba na vijana wake.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania