Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TWANGA YAWASHIKA MASHABIKI DAR LIVE

Waimbaji wa bendi hiyo Kalala Jr (kushoto) na Pentagon wakiimba kwa pomoja. Kalala Jr akirap katika makalio ya mmoja wa wanenguaji wa bendi hiyo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Twanga Pepeta kufungua mwaka Dar Live

Ali Choki - Twanga_6 Na Mwandishi Wetu
BENDI kongwe ya muziki wa Dansi nchini, The African Stars International ‘Twanga Pepeta’ Januari 1 ambayo pia ni Sikukuu ya Mwaka Mpya, wanatarajiwa kufungua mwaka kwa kishindo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.

Ali Choki -Twanga_5Akizungumza na gazeti hili, Meneja wa Dar Live, Juma Mbizo alisema kuwa siku zote ukumbi huo hauishi kwa burudani na safari hii katika Sikukuu ya Mwaka Mpya wamewaandalia bendi isiyoshikika Bongo ya Twanga Pepeta ambayo...

 

9 years ago

Global Publishers

10 years ago

GPL

TWANGA PEPETA WAKIWASHA MOTO KATIKA UZINDUZI WA YAMOTO BAND NDANI YA DAR LIVE USIKU HUU

Msafiri Diouf 'Lewandowsky' wa Twanga Pepeta akifanya vitu vyake jukwaani kwenye uzinduzi wa Yamoto Band ndani ya Dar Live usiku huu.…

 

11 years ago

GPL

LINEX AKIPAGAWISHA MASHABIKI DAR LIVE

Staa wa muziki wa kizaki kipya, Linex…

 

11 years ago

GPL

JAHAZI YAPAGAWISHA MASHABIKI DAR LIVE

    Hadija Yusuf akiimba stejini.     Mzee Yusuf akitoa burudani kwa mashabiki.   Mashabiki waliofurika ukumbini hapo…

 

11 years ago

GPL

MASTAA WALONGA NA MASHABIKI WAO DAR LIVE

Mastaa wa filamu Bongo, Dk. Cheni (kushoto), Wastara Juma (katikati) na Mzee Chilo (kulia) wakitoa burudani juu ya steji ya Dar Live. Mwigizaji Wastara Juma akiongea na mashabiki wake wa Dar Live.…

 

11 years ago

GPL

AMIN, LINAH WAKIPAGAWISHA MASHABIKI DAR LIVE

Wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Amin Mwinyimkuu 'Amin' na Esterinah Sanga 'Linah' wakifanya vitu vyao stejini ndani ya Dar…

 

11 years ago

GPL

LEILA RASHID AKIWADATISHA MASHABIKI WA DAR LIVE

Mwimbaji wa Jahazi Modern Taarab ambaye pia ni mke wa Mzee Yusuf, Leila Rashid akiwapagawisha maelfu ya mashabiki waliofurika katika Uwanja wa Burudani wa Dar Live usiku huu.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani