Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASTAA WAMCHARUKIA TIBAIJUKA

Gladness Mallya/mchanganyiko11
KAULI ya aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anna Tibaijuka kuwa kiasi cha shilingi milioni 10 alizotoa haraka kutoka katika akaunti ya Tegeta Escrow alizowekewa na mfanyabiashara James Rugemalila zilikuwa ni za mboga, zimewakera mastaa kiasi cha kumshambulia na kumuita mwenye dharau iliyopitiliza. Staa katika tasnia ya filamu Bongo,Tamlina Posh 'Amanda'. Wakizungumza kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Madiwani Liwale ‘wamcharukia’ mtendaji

MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Lindi wamempa siku 10 Mtendaji wa wilaya hiyo kuhakikisha anachukua hatua za kisheria kwa kamati zinazosimamia miradi. Hatua hiyo imetokana na kuchoshwa na...

 

10 years ago

GPL

ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME

Na Mayasa Mariwata
MKONGWE kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ amewalaumu vikali mastaa wa kiume Bongo kuwa ndiyo chanzo kikubwa cha tasnia kutawaliwa na mastaa wa kike wanaojiuza. Mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ Akizungumzia kuhusiana na kuwepo kwa madai ya wasanii wa kike Bongo Movie kujiuza, Cathy alisema hawezi kuweka wazi kama anawajua wahusika au...

 

10 years ago

TheCitizen

I’m going nowhere, says Tibaijuka

>The minister for Lands, Housing and Human Settlements Development, Prof Anna Tibaijuka, yesterday said she was not ready to resign over the Tegeta escrow account scandal.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani