Madiwani Liwale ‘wamcharukia’ mtendaji
MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Lindi wamempa siku 10 Mtendaji wa wilaya hiyo kuhakikisha anachukua hatua za kisheria kwa kamati zinazosimamia miradi. Hatua hiyo imetokana na kuchoshwa na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jIM5ZSWhuBakwzdg9knlpa*f0lTrSd2TU11HbMgpvHN8SIlusgF3nBCFgaanRSIl5tDihG9VpBIImSq3TGpAq8KKlq0YD1jV/2.jpg)
MASTAA WAMCHARUKIA TIBAIJUKA
Gladness Mallya/mchanganyiko11
KAULI ya aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anna Tibaijuka kuwa kiasi cha shilingi milioni 10 alizotoa haraka kutoka katika akaunti ya Tegeta Escrow alizowekewa na mfanyabiashara James Rugemalila zilikuwa ni za mboga, zimewakera mastaa kiasi cha kumshambulia na kumuita mwenye dharau iliyopitiliza. Staa katika tasnia ya filamu Bongo,Tamlina Posh 'Amanda'. Wakizungumza kwa...
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Liwale washauriwa kujiunga na Vicoba
Wajasiriamali Wilaya ya Liwale, mkoani Lindi wameaswa kujiunga na Vicoba na kujenga tabia ya kutunza akiba ili kufikia malengo waliojiwekea.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LXZYmTRupZ9OEHbBjMcmdhTvx-wA-N3Dfh8JGm*IDPP57UHAxyh9ZaapgXFVJ5N9zhLdatunBAbn9QxT*kvJfQmRkxdOy8kx/Mbunge.jpg?width=650)
LIWALE JIMBO LENYE MATATIZO LUKUKI
Liwale ni moja kati ya wilaya 6 za Mkoa wa Lindi Kusini mwa Tanzania. Upande wa Kaskazini inapakana na Mkoa wa Pwani, Mashariki inapakana na Wilaya ya Kilwa, Kusini inapakana na Wilaya ya Ruangwa na Magharibi inapakana na Mkoa wa Morogoro. Mbunge wa Liwale Faith Mitambo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Pia Liwale ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mbunge Faith Mitambo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Siku...
11 years ago
Mwananchi15 May
Mbaroni kwa kumnajisi mtoto msikitini Liwale
Mkazi mmoja wa Mtaa wa Mungurumu, wilayani Liwale mkoani Lindi, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma ya kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka tisa anayesoma darasa la pili katika Shule ya Msingi Kawawa.
10 years ago
Mwananchi14 Jan
Wakulima Liwale kunufaika na mbegu za alizeti, ufuta
Chama cha Kuuza na Kununua Mazao cha Umoja, kilichopo wilayani Liwale, Mkoa wa Lindi kimeanza kutekeleza mradi wa kugawa mbegu za alizeti na ufuta kwa wakulima zaidi ya 700 zenye thamani ya Sh6 milioni.
10 years ago
Mwananchi22 Feb
UKATILI: Liwale watoa tamko mauaji ya albino
>Wilaya ya Liwale, mkoani Lindi, imetoa tamko la kulaani vitendo vinavyoendelea vya kuwaua watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) kwa imani za kishirikina.
10 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-xF0gMwVcEJI/VG4lHq_wCfI/AAAAAAAATk8/VI4Bp7QA_Ok/s1600/02.jpg)
ZIARA YA KINANA NDANI YA-LIWALE MKOANI LINDI
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Liwale mkoani Lindi ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa kuna haja ya kubadilisha taratibu za ajira badala ya kuwa za kudumu ziwe za mikataba kwani itasaidia kufanya kazi kwa ufanisi.  Wananchi wa Liwale wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.… ...
11 years ago
MichuziMJUMITA YASAIDIA KUOKOA MSITU WA ANGAI WILAYANI LIWALE
Na Abdulaziz ,Lindi
Mtandao wa Jamii wa Usimazi wa misitu Tanzania (MJUMITA) wamekuwa wakitoa elimu ya utawala bora katikavijiji 24 vinavyozunguka msitu wa Angai kuanzia mwaka 2011 kwa ufadhili wa Limas (lindi and masasi agribusiness support) Mjumita wamekuwa wakitoa elimu hiyo katika hivyo ikiwemo Uraghabishi ,utawala bora, Usimamizi shirikishi wa misitu,Uongozi na Utawala bora huku Elimu ikitolewa kwa jamiii za vitongoji juu ya uwezeshaji na utunzaji wa misitu kwa manufaa ya...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-pXVEO6-wbLU/VfdFckmW1MI/AAAAAAAADzE/YeZ0oZIuxkw/s72-c/IMG_0008.jpg)
BI. SAMIA SULUHU AHAIDI NEEMA KWA WAPIGA KURA MAJIMBO YA LIWALE NA NACHINGWEA
![Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Sabasaba Mjini Nachingwea kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/09/IMG_0071.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-pXVEO6-wbLU/VfdFckmW1MI/AAAAAAAADzE/YeZ0oZIuxkw/s640/IMG_0008.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania