Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MJUMITA YASAIDIA KUOKOA MSITU WA ANGAI WILAYANI LIWALE

Na Abdulaziz ,Lindi  Mtandao wa Jamii wa Usimazi wa misitu Tanzania (MJUMITA) wamekuwa wakitoa elimu ya utawala bora katikavijiji 24 vinavyozunguka msitu wa Angai kuanzia mwaka 2011 kwa ufadhili wa Limas (lindi and masasi agribusiness support) Mjumita wamekuwa wakitoa elimu hiyo katika hivyo ikiwemo Uraghabishi ,utawala bora, Usimamizi shirikishi wa misitu,Uongozi na Utawala bora huku Elimu ikitolewa kwa jamiii za vitongoji juu ya uwezeshaji na utunzaji wa misitu kwa manufaa ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NMB YASAIDIA WAHANGA WA MAFURIKO - WILAYANI HAI-KILIMANJARO

BENKI ya NMB, imetoa msaada wa vitu mbalimbali vinavyogharimu kiasi cha Sh milioni 10 kwa ajili ya kuwasaidia wakazi wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro baada ya kukumbwa na mafuriko yaliyotokea wiki lililopita.
Benki hiyo imetoa vitu mbalimbali vikiwemo unga, maharage, magodoro na sementi vyenye gharama ya shilingi milioni 10 kwa ajili ya kusaidia wahanga wa tukio hilo lililowaacha mamia ya Watanzania bila makazi huku mali zao zikiharibiwa kwa kiasi kikubwa.
Akikabidhi msaada huo kwa...

 

11 years ago

Michuzi

mkuu wa mkoa wa lindi akagua miradi ya maendeleo wilayani liwale, atoa agizo kwa Wazazi kuhakikisha watoto waliopasi kuingia sekondari wawe wameripoti shuleni ndani ya siku 7

 Mkuu wa mkoa wa Lindi na ujumbe wake wakikagua Zahanati ya Kijiji cha Kikulyungu wilayani Liwale  Nyumba ya wahudumu wa Afya kijiji cha kikyulungu inayojengwa kwa Msaada wa Benjamin  Mkapa Foundation   Mkuu wa mkoa wa Lindi Mhe. Ludovick Mwananzila (mwenye suti ya kijivu) akikagua miradi ya Maendeleo wilayani Liwale  Mkuu wa mkoa wa lindi MheLudovick Mwananzila akihutubia wananchi wilayani liwale  kulia ni mkuu wa wilaya ya Liwale Mhe.  Ephraim Mmbaga Mkuu wa mkoa wa Lindi akikagua...

 

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya Posta Tanzania, yasaidia shule za msingi wilayani Ileje mkoani Mbeya

Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Janet Mmbene, (wapili kushoto), akipeana mikono na Meneja msaidizi wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, tawi la Tunduma, Teddy Msanzi, wakati wa hafla ya kukabidhi madawati yaliyotolewa kama msaada na benki hiyo, kusaidia shule mbili za msingi wilayani Ileje, mkoa wa Mbeya, hivi karibuni.

NA K-VIS MEDIA

Benki ya Posta Tanzania (TPB) kupitia tawi lake la Tunduma, imetoa msaada wa madawati 100 yenye thamani ya shilingi Milioni Tatu kwa shule mbili za...

 

10 years ago

Michuzi

TIPER YASAIDIA VIFAA VYA MAABARA VYENYE THAMANI YA SH. ML 20/- KWA SEKONDARI WILAYANI RUFIJI

MKURUGENZI Mtendaji wa kampuni ya kuhifadhi mafuta nchini, TIPER Bw. Daniel Belair (Kulia) akikabidhi msaada wa vifaa vya maabara vyenye thamani y ash. Mil 20 kwa Afisa Mtendaji wa kata ya Bungu, wilayani Rufiji, Bw. Alli Mwamboka wakati wa hafla  fupi ya makabidhiano ya vifaa hivyo iliyofanyika mwishoni mwa juma kwenye viwanja vya shule hiyo iliyopo wilayani Rufiji, mkoani Pwani. Msaada huo ni mwendelezo wa jitihada za kampuni hiyo katika kuisaidia jamii.
Kampuni ya kuhifadhi mafuta nchini,...

 

9 years ago

Michuzi

MJUMITA WASHINDA TUZO YA MAZINGIRA YA UN

Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo  wa Umoja wa Mataifa ( UNDP), Helen Clark (kushoto) akiwa na Mcheza  senema  maarufu na mwanaharakati wa Mazingira, Alec Baldwin (katikati)  na Mkewe, Hilaria Thomas wakati wa mkutano maalum na waandishi wa habari wa kutangaza washindi wa Tuzo ya Ikweta ambayo hutolewa na Umoja Mataifa kwa  NGO ambazo zinajihusisha na utunzaji wa  mazingira, ulinzi na uhifadhi wa misitu, matumizi bora na endelevu ya ardhi na mali asili na  kupiga vita umaskini. 
Tuzo ya mwaka huu wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MJUMITA: TUCHAGUE VIONGOZI WATAKAO TETEA USIMAMIZI ENDELEVU WA MISITU

Mtaalam wa Misitu ambae pia anafanya kazi na  Mama Misitu kupitia Jumuiko la Maliasili Tanzania (TNRF), Cassian Sanga akiendesha mjadala wa mada ya kwanza ya usimamizi  endelevu wa rasilimali za misitu nchini.******************
Na Father Kidevu Blog
 Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu nchini (MJUMITA)  leo imeanza mkutano wake Mkuu wa Siku mbili ambao kwanza umeanza na Warsha ya siku moja ya wadau wote wa mtandao huo. Wajum,be na wadau wa Mjumita kesho Agosti 18, watafanya mkutano...

 

11 years ago

Michuzi

MJUMITA has been rewarded with WWF Sweden´s annual environmental prize, Jihde award

HRH Victoria, the crown princess of Sweden presenting the JIHDE award to MJUMITA, receiving on behalf of MJUMITA is Rahima Njaidi, Executive Director, MJUMITA. Dar es salaam, 20th March 2014. Rahima Njaidi, Executive Director for MJUMITA joyously displaying the award. Cheering with her are HRH Victoria crown princes of Sweden, Dr Allan Carlson Senior Conservation Advisor Species and Protected Areas WWF Sweden and Bell’Aube Houinato WWF-Tanzania’s Country Director at the award ceremony....

 

10 years ago

Vijimambo

MJUMITA WAZINDUA WIMBO WA MKUHUMI ULIOIMBWA NA MPOTO, AFANDE SELE NA DAYNA

WATANZANIA wametakiwa kuwatumia wasanii katika kufikisha ujumbe wa masuala muhimu ya kijamii kwakuwa wasanii hao wanamvuto mkubwa kwa wananchi.

Hayo yalisema jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa wimbo maalum wa kuhamasisha utunzaji wa mazingira  uliojulikana kama  ‘Mkuhumi’.
Wimbo huo ulioimbwa na wanamuziki wa kizazi kipya Seleman Msindi ‘Afande Sele’, Dayna Nyange pamoja na msanii nguli wa kughani mashairi Afrika Mashariki, Mrisho Mpoto maarufu kama ‘Mjomba’.
Akizungumza kwenye...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Madiwani Liwale ‘wamcharukia’ mtendaji

MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Lindi wamempa siku 10 Mtendaji wa wilaya hiyo kuhakikisha anachukua hatua za kisheria kwa kamati zinazosimamia miradi. Hatua hiyo imetokana na kuchoshwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani