MASTAA WANASEMAJE KUHUSU SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO ?

Na Hamida Hassan Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete aliipitisha sheria ya makosa ya mitandao kwa kutia saini.Ni sheria ambayo wengi hawajajua namna itakavyofanya kazi na huenda wengi wakaingia kwenye mtego. Jaqueline Wolper. Miongoni mwa watu watakaojikuta kwenye wakati mgumu kupitia sheria hii ni mastaa, tena hasa wa kike. Je, wao wanaizungumziaje sheria hiyo? Hebu wasikie...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Taarifa kutoka Sikika kuhusu upotoshaji wa mswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015

Sikika haikuhudhuria mkutano wa wadau unaodaiwa kufanyika Dodoma kama ilivyodaiwa na Mh Peter Serukamba na leo maafisa wa TCRA.
Sikika haikutoa maoni kuhusu Mswada wa miamala ya kielektoniki kama ilivyodaiwa na Mh Peter Serukamba na pia leo maafisa wa TCRA.
Sikika ilituma maoni ya pamoja ya wadau kwa niaba ya wadau kuhusu #CyberCrimeBill kwa njia ya email...
10 years ago
Vijimambo08 May
10 years ago
Bongo Movies07 May
Andiko Hili la Wema Kuhusu Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015, Laungwa Mkono na Wengi
Naomba mimi kama Wema Sepetu, nitoe tamko langu rasmi kuhusu hii Sheria mpya iliyopitishwa bungeni. Naongelea Sheria ya cybercrime au cyberbulling. Ukweli ni Kwamba watanzania tunatumia vibaya mitandao ya kijamii. Matusi yamekuwa ni mengi na sometimes hawavumiliki. Kwa kweli kunahitahija Kuwa na laws in place za kupunguza unyanyasaji kupititia mitandao ya kijamii. That said, yes nai support hii bill ya cyber crime to an extend.
Kama jinsi ambavyo watanzania tunatumia vibaya mitandao kwa...
10 years ago
Michuzi08 May
10 years ago
Michuzi.jpg)
Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini watoa tamko didi ya muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao,2015
.jpg)
10 years ago
Habarileo28 May
Kamati yapongeza sheria ya makosa ya mtandao
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imepongeza serikali kwa kuwasilisha muswada wa sheria ya makosa ya mtandao, huku ikisisitiza elimu kwa wananchi ili waepuke makosa yatakayowatia hatiani.
10 years ago
Ykileo
UCHAMBUZI WA SHERIA ZA MAKOSA MTANDAO, 2015

Nitaanza na...
10 years ago
GPL
UCHAMBUZI WA SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO, 2015
10 years ago
Mzalendo Zanzibar08 Sep
Sheria ya mpya ya makosa ya mtandao mwisho Chumbe?
Monday, September 7, 2015 Na Muandishi wetu swahilivilla Blog Wanadiaspora wameelezea wasiwasi wao kuwa sheria mpya ya Makosa Ya Mtandao iliyoanza kufanya kazi tarehe mosi mwezi huu nchini Tanzania, huenda ikaishia Chumbe, imefahamika. Hayo yamekuja kwenye […]
The post Sheria ya mpya ya makosa ya mtandao mwisho Chumbe? appeared first on Mzalendo.net.