Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sheria ya mpya ya makosa ya mtandao mwisho Chumbe?

Monday, September 7, 2015 Na Muandishi wetu swahilivilla Blog Wanadiaspora wameelezea wasiwasi wao kuwa sheria mpya ya Makosa Ya Mtandao iliyoanza kufanya kazi tarehe mosi mwezi huu nchini Tanzania, huenda ikaishia Chumbe, imefahamika. Hayo yamekuja kwenye […]

The post Sheria ya mpya ya makosa ya mtandao mwisho Chumbe? appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SHERIA MPYA YA MTANDAO MWISHO CHUMBE..?

Logo ya Zanzibar Diaspora Association (ZADIA)Na Mwandishi wetu swahilivilla Blog

Wanadiaspora wameelezea wasiwasi wao kuwa sheria mpya ya Makosa Ya Mtandao iliyoanza kufanya kazi tarehe mosi mwezi huu nchini Tanzania, huenda ikaishia kisiwa cha Chumbe kilichopo katikati ya Dar es salaam na Zanzibar,  imefahamika.

Hayo yamekuja kwenye kongamano maalum lililoandaliwa na Jumuiya Ya Wazanzibari Waishio nchini Marekani (ZADIA) kujadili Sheria Mpya ya Makosa Ya Mtandao na Athari zake Kisiasa.

Wageni...

 

10 years ago

Michuzi

Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini watoa tamko didi ya muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao,2015

 Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini, Tanzania Bloggers Network (TBN) tunamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kutumia mamlaka yake vyema kwa kutokupitisha muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 unaokandamiza uhuru wa mawasiliano mitandaoni.  Muswada wa sheria ya makosa ya Mtandaoni unaainisha makosa yanayohusiana na matumizi ya mfumo wa kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, na kuweka utaratibu wa upelelezi, ukusanyaji na matumizi...

 

10 years ago

Ykileo

UCHAMBUZI WA SHERIA ZA MAKOSA MTANDAO, 2015

Awali ya yote nirudie kutoa pongezi kwa serikali kwa hatua hii muhimu waliyofikia ya kuwasilisha mswada wa sheria mtandao ambao naimani kubwa itakua na majibu mazuri ya kudhibiti na kuhimili vishindo vya uhalifu mtandao nchini. Naomba itambulike Tanznaia si ya kwanza kuwa na sheria za usalama mitandao na ukweli ni kwamba tumechelewa kwa kiasi Fulani. Nchi nyingi tayari zinasheria za usalama mitandao na zimeendelea kuboreshwa kadri teknolojia inavyo endelea kukua na kubadilika.


Nitaanza na...

 

10 years ago

Habarileo

Kamati yapongeza sheria ya makosa ya mtandao

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imepongeza serikali kwa kuwasilisha muswada wa sheria ya makosa ya mtandao, huku ikisisitiza elimu kwa wananchi ili waepuke makosa yatakayowatia hatiani.

 

10 years ago

GPL

UCHAMBUZI WA SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO, 2015

UTANGULIZI
Sheria hii ya Makosa ya Jinai kupitia Mtandao, 2015 ina mapungufu mengi. Mapungufu hayo yamebainika kuwa, kama sheria ikipita yanaweza kuifanya nchi ikawa ni kati nchi adui za matumizi ya mtandao wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano duniani. Watanzania wote wanatakiwa kufahamu kuwa muswada ukipita utatumika nchini kote yani Tanzania Bara na Visiwani. Watanzania walio wengi hawafahamu Sheria hii inawahusu kwa...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WANASEMAJE KUHUSU SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO ?

Na Hamida Hassan
Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete aliipitisha sheria ya makosa ya mitandao kwa kutia saini.Ni sheria ambayo wengi hawajajua namna itakavyofanya kazi na huenda wengi wakaingia kwenye mtego. Jaqueline Wolper. Miongoni mwa watu watakaojikuta kwenye wakati mgumu kupitia sheria hii ni mastaa, tena hasa wa kike. Je, wao wanaizungumziaje sheria hiyo? Hebu wasikie...

 

9 years ago

Mwananchi

Sheria ya Makosa ya Mtandao yadaka ndugu watatu

Watu wanne juzi walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kusambaza taarifa za uwongo.

 

11 years ago

Ykileo

BUNGE LINATEGEMEA KUWASILISHA BUNGENI MUSWADA SHERIA ZA MAKOSA MTANDAO.

Wizara ya Mawasilano, Sayansi na Teknolojia ipo katika mkakati wa kuandaa muswada wa sheria za matumizi salama ya mtandao ili kukabiliana na changamoto za uhalifu kupitia mtandao.

Kupitishwa kwa miswada hiyo kuwa sheria kutapunguza hali ya kukithiri kwa matukio ya uhalifu wa kutumia mtandao, uvujaji wa taarifa za siri pamoja na upotevu wa haki miliki kutokana na kukosekana kwa sheria ya kudhibiti vitendo hivyo.

Miongoni mwa Miswada ya sheria itakayoandaliwa na Wizara hiyo ni pamoja na muswada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani