Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Master J ana moyo wa kipekee, Mungu amzidishie — Izzo Bizness

Izzo Bizness amedai kuwa Master J ni mtu mwenye moyo wa kipekee. Akiongea kwenye kipindi cha Chill na Sky, Izzo alisema kuwa mtayarishaji huyo mkongwe aliyemsainisha kwenye label yake ana mengi aliyomsaidia na hawezi kusahau ukarimu wake. “Yule jamaa ana moyo ambao unaweza ukawa unamuomba Mungu kila siku amzidishie kwasababu Jay anakufanya unakuwa huru halafu […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Izzo Bizness awashirikisha Mwana FA na G-Nako

Rapper Izzo Bizness amesema anajipanga kuachia kazi yake mpya aliyowashirikisha Mwana FA pamoja na G-Nako. Izzo ameiambia Story Tatu ya Planet Bongo ya East Africa Radio kuwa anajisikia faraja kufanya kazi na rapper kama FA ambaye amekuwa akifanya vizuri kwenye muziki wake kwa nyakati tofauti. “Ngoma yangu mpya nimewashirikisha G-Nako pamoja na Mwana FA na […]

 

10 years ago

GPL

IZZO BIZNESS ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE LEO

Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Tanzania,  Izzo Bizness akipozi katika studio za Global TV Online.  Izzo Bizness akiwa kwenye pozi baada ya kufanya mahojiano.…

 

9 years ago

Bongo5

Video: Mambo 3 usiyoyajua kuhusu Izzo Bizness

Tazama video hii kujua mambo matatu usiyoyajua kumhusu Izzo Bizness. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

CloudsFM

Audio & lyrics: Izzo Bizness - Walala Hoi

Walala Hoi ndo jina la wimbo kutoka kwa Izzo Bizness, Produced Duppy [Switch records]   WALALA HOI lyrics  Intro: Walala hoi…Walala hoi…Walala hoi  Chorus:  Walala hoi sisi ndio Walala hoi (Walala hoi) x 4 moja haikai mbili haikai mbaya wako ni jirani babu (Walala hoi) x 4  Verse 1: Tunaunga unga maisha yetu ni safari bado tunataabika (Walala hoi) / tunakomaa maisha ni safari imani ipo bado sisi mbali tutafika (Walala hoi) / tumazaliwa kwenye njaa njaa imetulea sisi home mali hatujakuta...

 

9 years ago

Bongo5

Siwezi kuoa kwa kuwaridhisha watu — Izzo Bizness

Izzo

Rapper anayeiwakilisha Mbeya city, Izzo Bizness amesema kuwa hana mpango wa kuoa kwa sasa licha ya kuwa yuko kwenye mahusiano na tayari ni baba wa mtoto mmoja.

Izzo

Tumeshawasikia mastaa wengi ambao wameweka bayana sababu za kwanini hawataki kuoa au kuolewa kwa sasa, lakini kwa upande wa Izzo hii ndio sababu aliyoitoa.

“Umri unaenda lakini ndoa ni mipango, siwezi kuoa kwa kuwaridhisha watu kwa kuwa mimi ni kioo cha jamii, si kitu rahisi kama watu wanavyofikiria ingawa niko kwenye mahusiano”,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani