MATA ATUA MAN UNITED KWA ADA YA £37M

Juan Mata. MANCHESTER United imekubali kulipa ada ya pauni milioni 37 ambayo ni rekodi kwa klabu ili kumnasa Juan Mata kutoka Chelsea na hii inasaidia kidogo kupoza machungu ya kutolewa Capital One Cup. Bosi wa Chelsea Jose Mourinho ameidhinisha dili hilo baada ya mazungumzo na maofisa wa klabu na sasa Mata anategemewa kufanya vipimo vya afya jijini Manchester kesho Alhamisi. Mtendaji mkuu wa Manchester United amekubali kuvunja...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
ROJO ATUA MAN UNITED KUKAMILISHA USAJILI
11 years ago
BBCSwahili23 Jan
Mata ajasiliwa na Manchester United
9 years ago
Mtanzania10 Nov
Mata aipa ubingwa Manchester United
MANCHESTER, ENGLAND
MSHAMBULIAJI wa timu ya Manchester United, Juan Mata, anaamini kuwa klabu hiyo itafanikiwa kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu.
Mchezaji huyo amesema timu hiyo ilikuwa na wakati mgumu katika baadhi ya michezo yake, lakini kwa sasa ipo katika nafasi nzuri ya kuweza kuchukua ubingwa wa michuano hiyo.
Klabu hiyo inajivunia kucheza michezo minne mpaka sasa bila kufungwa mara baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Arsenal, ambapo walipokea kichapo cha mabao 3-0.
“Ngoja tuone...
11 years ago
GPL
JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?
5 years ago
Mirror Online10 Apr
Juan Mata's positive response when asked about Man Utd transfer target Jadon Sancho
5 years ago
Metro.Co.Uk01 Mar
Manchester United squad 'stunned' by Bruno Fernandes' since £47m move
10 years ago
BBC
£28m Bony 'has signed for Man City'
5 years ago
Liverpool Echo20 Mar
Liverpool's strange season summed up by £66m man hoping for change of luck
5 years ago
Irish Mirror13 Feb
Man Utd 'get the green light' to complete £60million transfer for Moussa Dembele