JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?
![](http://api.ning.com:80/files/jzsUW*22gf3kMokG3xAVruraTWG59wJLuBdA-Ms1BZX57*Z7vgm5Ba5BpFX55EZP0zEyuqQLT9wVKlkvufA0aIPVEAqTO1-Q/JuanMataChelsea.jpg?width=650)
Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya jijini London kwa kitita cha pauni milioni 37 sawa na shilingi bilioni 99.3 za Kitanzania. Swali: Ataweza kuisadia timu hiyo yenye matokeo mabovu katika Ligi Kuu ya England na michuano mbalimbali inayoendelea ikiwa ni siku moja tu imeondolewa katika michuano ya Capital One Cup na Sunderland? INGIA HAPA KUTOA MAONI YAKO: JUAN… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili23 Jan
Mata ajasiliwa na Manchester United
9 years ago
Mtanzania10 Nov
Mata aipa ubingwa Manchester United
MANCHESTER, ENGLAND
MSHAMBULIAJI wa timu ya Manchester United, Juan Mata, anaamini kuwa klabu hiyo itafanikiwa kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu.
Mchezaji huyo amesema timu hiyo ilikuwa na wakati mgumu katika baadhi ya michezo yake, lakini kwa sasa ipo katika nafasi nzuri ya kuweza kuchukua ubingwa wa michuano hiyo.
Klabu hiyo inajivunia kucheza michezo minne mpaka sasa bila kufungwa mara baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Arsenal, ambapo walipokea kichapo cha mabao 3-0.
“Ngoja tuone...
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Juan Mata aanza kwa Solskjaer
5 years ago
Mirror Online10 Apr
Juan Mata's positive response when asked about Man Utd transfer target Jadon Sancho
11 years ago
Mwananchi12 Dec
Andy Cole wa Manchester United kutua Dar kesho
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-5kYxjYHJACw/VY1UYBbm8zI/AAAAAAAACQs/S3uwAzomlvE/s72-c/Sergio_Ramos_2921569b.jpg)
MAAMUZI YA REAL MADRID KUHUSU SERGIO RAMOS KUTUA MANCHESTER UNITED
![](http://2.bp.blogspot.com/-5kYxjYHJACw/VY1UYBbm8zI/AAAAAAAACQs/S3uwAzomlvE/s400/Sergio_Ramos_2921569b.jpg)
Africanjam, We provide news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Breaking news. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in Africa and the whole world.Follow us on...
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-3uIijytPPJE/VXibWdEb1cI/AAAAAAAACBM/k3xxxIl3q98/s72-c/1455142-31099792-1600-900.jpg)
11 years ago
GPL09 Dec
SHABIKI WA MANCHESTER UTD NAIROBI AJIUA BAADA YA TIMU YAKE KUFUNGWA NA NEWCASTLE 1-0