Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATAPELI YATUMIA MGAHAWA WA FRESH COACH MJINI MOSHI KUTAPELI MILIONI 5

Mwanamke mmoja ambaye alifahamika kwa jina la Rashushi Amani Shembusho, mkazi wa Pasua, wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, ametapeliwa kiasi cha shilingi milioni 5.4 na watu wasiojulikana asubuhi ya leo, Februari 20. Bi. Shembusho akilia kwa uchungu baada ya kudangasnywa na watu wawili, wa kike na wakiume ambao majina yao bado hayajafahamika. watu hao walimpeleka katika Hoteli maarufu mjini moshi, Fresh Coach na kumtapeli shilingi milioni 5.4 ambazo alikuwa ametoka kutoa Benki ya Uchumi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

CHADEMA MOSHI MJINI WATANGAZA ILANI YA UCHAGUZI YA JIMBO LA MOSHI MJINI.

Meneja Kampeni wa mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini kupitia Chadema na UKAWA,Jafary Michael ,Bw Raymond Mboya akifanya utamburisho mbele ya wanahabari wa mkutano wa mgombea huyo na wanahabari uliofanyika katika Hotel ya Keys.Waandishi wa Habari mkoa wa Kilimanjaro ambao ni wawakilishi wa vyombo mbalimbali vya Habari nchini wakiwa katika kikao na mgombea Ubunge jimbo la Moshi mjini kupitia Chadema na UKAWA,Jafary Michael.
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini aliyemaliza muda wake ,Philemoni...

 

11 years ago

Habarileo

Matapeli wakagua fedha stendi Moshi

KUMEIBUKA kikundi cha matapeli katika kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi na kujifanya maofisa usalama na askari kanzu ambao hukagua fedha za watu kwa madai ya kutafuta fedha zilizoibwa maeneo mengine nchini.

 

5 years ago

Michuzi

HUSHPUPPI AKAMATWA KWA KUTAPELI WATU MILIONI 1.9 DUNIANI

Na Leandra Gabriel, Michuzi TVRAMON Olorunwa Abass raia wa Nigeria anayeshutumiwa kwa makosa ya udanganyifu amekamatwa akiwa na genge lake wakiwa wamepumzika katika makazi yao huko Dubai, kupitia ukurasa wa Twitter wa polisi Dubai, wamechapisha taarifa na video iliyokuwa inaonesha tukio la ukamtwaji wao.
Abbas ambaye anafahamika zaidi kwa jina la Hushpuppi amekamatwa mapema mwezi Juni akiwa na Olalekan Jacob Ponle marufu kama Woodberry na wengine 10.
Washukiwa 12 wamekamatwa kwa makosa ya...

 

9 years ago

Mtanzania

Kinondoni yatumia milioni 500/- kukabili kipindupindu

DSC_0092NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM

HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni imetumia zaidi ya Sh milioni 500 kupambana na   kipindupindu tangu kilipozuka Agosti 15 mwaka huu.

Hadi sasa watu 1194 wameugua ugonjwa huo katika Manispaa hiyo na 17 wamefariki dunia.

Akizungumza   baada ya kupokea msaada wa dawa na vifaa tiba uliotolewa na Benki ya CRDB, Mkurugenzi wa Manispaa hiyo,   Mussa Natty, alisema kila siku kuna wagonjwa wapya wanaripotiwa na jana walikuwa 15.

Msaada huo wenye thamani ya Sh milioni...

 

10 years ago

Vijimambo

ACACIA YATUMIA MILIONI 400 KUJENGA MAABARA SHINYANGA

Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi,Mhandisi Philbert Rweyemamu(kushoto) akiwa na Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Bi Josephine Matiro wakati wa uzinduzuzi wa jengo la Maabara katika shule ya Sekondari Ngokolo lililojengwa kwa ufadhili wa kampuni ya kuchimba Dhahabu ya Buzwagi. Jengo la Maabara lililojengwa kwa ufadhili wa Mgodi wa Kuchimba Dhahabu wa Buzwagi katika shule ya sekondari Ngokolo iliyopo wilani Shinyanga. Baadhi ya wanafunzi katika shule ya sekondari Ngokolo iliyopo wilayani Shinyanga...

 

10 years ago

Dewji Blog

SEMA yatumia shilingi milioni 380 kusambaza Maji Iramba

DSC00692

Mtendaji mkuu wa shirika la MEDICOR la nchini Uingereza, Fortunat Walther (wa kwanza kushoto) akitoa maelezo juu ya ujenzi wa visima vya maji kwa meneja wa SEMA, Ivo Manyaku, wakati Walther alipotembelea miradi hiyo inayofadhiliwa na shirika lake.

Na Nathaniel Limu,  Iramba

SHIRIKA lisilokuwa la kiserikali Linaloboresha na Kusimamia Mazingira ili kuleta Maendeleo Endelevu (SEMA) la mjini Singida limetumia zaidi ya sh milioni 380 kwa ajili ya utekelezaji  mradi wa maji wilayani Iramba,...

 

11 years ago

Michuzi

wilaya ya Kalambo Mkoa wa Rukwa yatumia shilingi milioni 8.5 kupambana na ukimwi

NA RAMADHANI JUMA  OFISI YA MKURUGENZI-KALAMBO   OFISI ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kalambo Mkoa wa Rukwa kupitia kitengo cha UKIMWI kimetumia zaidi ya shilingi milioni 8.5 kwa ajili ya kuimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa huo katika wilaya hiyo.   Fedha hizo zimetumika kuwanunulia wanafunzi yatima wanaoishi katika mazingira magumu sare za shule, viatu pamoja vifaa vya kujifunzia ikiwemo madaftari na kalamu, ambapo Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Godfrey Sichona alikabidhi kwa...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE NDESAMBURO NA MEYA WA MOSHI JAFARY MICHAEL WAENDELEA NA MIKUTANO KATIKA JIMBO LA MOSHI MJINI.

Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika jirani na Super Market ya Nakumat.Baadhi ya wananchi waliofika katika mkutano huo wakimsikiliza Ndesamburo.Baadhi ya viongozi wa Chadema akiwemo mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael wakimsilikiza Ndesamburo.Msatahiki Meya wa Manispaa ya Moshi,Jafary Michael akizungumza katika mkutano wa hadhara .

 

10 years ago

GPL

AIRTEL FURSA YATUMIA ZAIDI YA MILIONI 3 KUMPIGA TAFU MJASILIAMALI MWINGINE‏

Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia), akiwa na kijana Mariam Mrisho (wa pili kulia) aliyewezeshwa na Airtel Fursa-Tunakuwezesha vifaa mbalimbali na jokufu kwa ajili ya kumsaidia katika biashara yake ya mama lishe na kutengeneza vitafunwa na juisi Dar es Salaam jana. Wa tatu kushoto ni mama wa Mariam Mrisho, Amina Lugome. Wengine ni ndugu zake Mrisho. Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani