Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matarajio ya umma na changamoto ya Baraza

HATIMAYE Baraza la Mawaziri limeundwa.

Maggid Mjengwa

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Sugu adai matarajio kuwa angesaidia wasanii ilikuwa changamoto kubwa kwake

Mbunge wa Mbeya mjini anayetetea kiti chake kwenye uchaguzi wa mwaka huu, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi, amezitaja changomoto mbili alizokutana nazo wakati alipoingia bungeni kama msanii wa muziki. Sugu ameiambia BBC kuwa moja ya changamoto ni kuonekana kama mkombozi wa wasanii wakati hawakumsaidia chochote alipoingia bungeni. “Changamoto moja wapo ni ile hali ya baadhi ya wasanii […]

 

10 years ago

Michuzi

Changamoto za maboresho ya usimamizi wa fedha za umma zatajwa

PROGRAMU ya Moboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma (Public Finance Management Reform Progamme – PFMRP) imetaja changamoto zinazoukabili mradi huo licha ya mafadikio mengi iliyoyapata wakati mradi huo ukiingia awamu ya nne ya utekelezaji wake. 
Mratibu wa Mradi huo,Bwa.Sebastian Ndandala ametaja changamoto hizo leo mjini Kibaha alipokuwa akiwasilisha mada kwa waandishi wa habari pamoja na waendeshaji wa mitandao ya jamii ikiwa ni hatua ya kushirikisha vyombo vya habari juu ya utekelezaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

Changamoto maboresho usimamizi wa fedha za umma zatajwa

Kulia ni Mratibu wa Moboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma (Public Finance Management Reform Progamme – PFMRP) akifafanua jambo juu ya utekelezaji wa mradi huo kwa wanahabari. Kulia ni Mratibu wa Moboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma (Public Finance Management Reform Progamme – PFMRP) akifafanua jambo juu ya utekelezaji wa mradi huo kwa wanahabari.Baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakifuatilia mada mbalimbali. Baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakifuatilia mada mbalimbali.Msemaji wa Wizara ya Fedha Ingiahedi Mduma (katikati) akiuliza swali kwa Mratibu wa Mradi wa Moboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma (Public Finance Management Reform Progamme – PFMRP) hayupo pichani. Msemaji wa Wizara ya Fedha Ingiahedi Mduma (katikati) akiuliza swali kwa Mratibu wa Mradi wa Moboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma (Public Finance Management Reform Progamme – PFMRP) hayupo pichani.Kulia ni Mratibu wa Moboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma (Public Finance Management Reform Progamme – PFMRP) akifafanua jambo juu ya utekelezaji wa mradi huo kwa wanahabari. Kulia ni Mratibu wa Moboresho ya Usimamizi wa Fedha...

 

10 years ago

StarTV

Chenge agoma kuhojiwa Baraza la Maadili ya Umma.

Na Josephine Mwaiswaga,

Dar es Salaam

 

Mbunge wa Bariadi Magharibi, CCM, Andrew Chenge amegoma kuhojiwa na Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma iliyomwita kwa mahojiano dhidi ya tuhuma zinazomkabili za kukiuka sheria ya maadili ya viongozi wa umma, baada ya kuwasilisha hoja ya kutaka kusimamishwa kwa mahojiano hayo, kwa kuwa suala hilo liko Mahakamani.

 

Kwa mujibu wa Hati ya Malalamiko iliyotolewa na Sekretarieti ya Maadili ya Umma, Chenge anakabiliwa na Makosa ya...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Ngeleja mbele ya Baraza la Maadili ya Watumishi wa Umma...

MBUNGE  wa  Sengerema ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, akiingia katika ukumbi wa Kariamjee, Dar es Salaam jana kuhojiwa na Baraza la  Maadili ya Watumishi wa umma kuhusiana na tuhuma za kukiuka sheria ya maadili katika sakata la akaunti ya Tegeta Escrow.
Ngeleja akisikiliza kwa makini  hoja  zilizokuwa zikitolewa na wanasheria wa Serikali(hawako pichani)  huku akiwa ameshika tama wakati kikao cha baraza hilo kikiendelea.
Ngeleja akikagua baadhi ya  nyalaka...

 

10 years ago

Michuzi

Baraza la michezo ya Majeshi Tanzania ladhamiria kutatua changamoto ya michenzo nchini

Wajumbe wa Kamati Tendaji ya BAMMATA katika picha ya pamoja mara baada ya kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika jijini Mbeya katika Bwalo la Magereza la Chuo Ruanda.Wa tatu kutoka kushoto mstari wa mbele ni mwenyekiti wa Baraza hilo Brigedia Jenerali CIRIL MHAIKI.
Tanzania imekuwa haifanyi vizuri sana katika michezo mingi ya Kimataifa inayoshiriki kwa hivi sasa.Hii inatokana na changamoto nyingi zinanazoikabili Taifa  miongoni mwake ikiwa ni kutokuwapo kwa   michezo ya majeshi kama...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA (AZIMIO NA. 69/246 LA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MAHAKAMA 

 

  Tunapenda kuutaarifu Umma kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (United Nations) Mhe. Ban Ki-moon tarehe 16 Machi, 2015 alimteua Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kuwa Mwenyekiti wa jopo huru la wataalamu wa kutafuta ukweli zaidi juu ya kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Hayati Dag Hammarskjöld, kifo hicho kilichotokea kwenye ajali ya kusikitisha ya ndege mnamo tarehe 17-18 Septemba, 1961 maeneo ya Ndola,...

 

10 years ago

GPL

SAKATA LA ESCROW: ANDREW CHENGE AMEKATAA KUHOJIWA NA BARAZA LA SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA

Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi katika Bunge Maalum la Katiba (BMK) Andrew Chenge. ALIYEKUWA Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi katika Bunge Maalum la Katiba (BMK) Andrew Chenge amekataa kuhojiwa mbele ya Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya viongozi wa umma juu ya tuhuma za kunufaika na fedha zilizotoka katika akaunti ya Tegeta Escrow, wakati alipoitika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani