Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baraza la michezo ya Majeshi Tanzania ladhamiria kutatua changamoto ya michenzo nchini

Wajumbe wa Kamati Tendaji ya BAMMATA katika picha ya pamoja mara baada ya kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika jijini Mbeya katika Bwalo la Magereza la Chuo Ruanda.Wa tatu kutoka kushoto mstari wa mbele ni mwenyekiti wa Baraza hilo Brigedia Jenerali CIRIL MHAIKI.
Tanzania imekuwa haifanyi vizuri sana katika michezo mingi ya Kimataifa inayoshiriki kwa hivi sasa.Hii inatokana na changamoto nyingi zinanazoikabili Taifa  miongoni mwake ikiwa ni kutokuwapo kwa   michezo ya majeshi kama...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NYALANDU KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO ZA UTALII NCHINI

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ameendelea na jitihada za kutafuta ufumbuzi wa kudumu kuhusiana na changamoto zinazowakumba wadau wa biashara ya utalii nchini. 
Katika kuhakikisha hilo linafanyika kwa mafanikio na kwa haraka, Nyalandu ametangaza kuanza kwa vikao vitakavyowakutanisha wataalamu wa Wizara zinazohusika na maliasili na utalii za Tanzania na Kenya kwa lengo la kujadiliana masuala mbalimbali iili yapatiwe ufumbuzi kwa maslahi ya pande zote.

Hatua hiyo imetokana na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Elimu yashauriwa kutatua changamoto za walimu nchini

1

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2015/2016 bungeni mjini Dodoma leo.

2

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii Bi. Margaret Sitta akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa mwaka wa fedha 2014/2015 leo bungeni mjini Dodoma.

3

Mhadhiri Msaidizi Idara ya Mimea kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam Bw. Heriel...

 

10 years ago

Michuzi

MICHEZO YA MAJESHI YA POLISI YAENDELEA NCHINI SWAZILAND

Mshindi wa kwanza katika mbio za Kilomita 21, Josepat Joshua (katikati) na wa pili Osward Revelian kutoka Jeshi la Polisi Tanzania wakiimba wimbo wa Taifa baada ya kukabidhiwa medali zao katika uwanja wa Mavuso mjini Mbabane Swaziland katika michezo ya majeshi ya Polisi kwa nchi za Kusini mwa Afrika(SARPCCO) inayoendelea nchini Swaziland. Mchezaji wa Polisi Tanzania, Mohamed Ibrahim kutoka Jeshi la Polisi Tanzania akirusha tufe katika uwanja wa Mavuso mjini Mbabane Swaziland katika...

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Selemani Jafo ameutaka uongozi mpya wa Tume ya Utumishi wa Walimu kutatua changamoto za walimu ili kuwatia moyo katika kutimiza majukumu yao.

Kauli hiyo ameitoa jijini Dodoma wakati wa kuapishwa wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Walimu .

Jafo amesema kuwa Tume hiyo ndani ya wiki moja ikafanyie kazi mashauri ya rufaa 110 ili walimu waweze kutekeleza majukumu yao katika ubora unaohitajika.

Akizungumza amesema kuwa Tume inatakiwa kufanya kazi kwa weledi wa hali...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MAJESHI TANZANIA JENERALI DAVIS MWAMUNYANGE AFUNGUA KIWANJA KIPYA CHA MICHEZO

 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange  akifungua kiwanja kipya cha Michezo kitakachotumika kwa ajili ya michezo ya Majeshi ya Shirikisho la Jumuia ya Afrika Mashariki, kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi na kushoto ni Mkuu wa Brigedi ya Nyuki, Brigedia Jenerali Sharif  Sheikh Othman. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange akimpongeza Mkandarasi wa kiwanja hicho kutoka Kampuni ya M. S Maya Heardwere ya Zanzibar Bw. Abdallah...

 

10 years ago

BBCSwahili

Baraza la Michezo Tanzania lafanya uchaguzi

Waziri wa habari Vijana Utamaduni na Michezo Dr. Fennella Mukangara ameteua baraza jipya la michezo Tanzania (BMT)

 

9 years ago

Habarileo

Wathamini madini watakiwa kutatua changamoto zao

KAIMU Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Ngosi Mwihava amewataka Wathamini Madini ya Vito na Almasi nchini, kuendelea kuwa wabunifu kutafuta majibu na suluhisho kwa changamoto zinazokabili tasnia ya vito nchini.

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania yashiriki Mkutano wa Baraza la Michezo la Kimataifa (General Assembly and Congress of the International Military Sports Council - CISM)

Na Luteni Kanali Juma Sipe  (PA, Marekani).   Tanzania imeshiriki Mkutano wa Baraza la Michezo la Kimataifa (General Assembly and Congress of the International Military Sports Council -CISM) uliofanyika Mjini Quito, Equado America ya Kusini kuanzia tarehe 05-09 Mei, 2014.  Mkutano huo ulijadili na kuendelea kusikilizana ushiriki wa majeshi katika Michezo ya Kimataifa chini ya Kaulimbiu ya Baraza hilo isemayo Urafiki kupitia Michezo (Friendship through sports), msisitizo ukiwa katika kutumia...

 

10 years ago

Michuzi

BAJETI YA WATOTO IONGEZWE KUTATUA CHANGAMOTO ZAO-C-SEMA

 Mratibu wa programu na Uhamasishaji wa Shirika lisilo la kiserikali la C-Sema, Michael Kehongoh akitoa maada katika semina iloyowashirikisha wanachama wa Chama cha Waandishi wa habari za watoto(TAJOC),Watunga sera na watoa maamuzi kutoka Wizara mbalimbali katika kujadili masuala ya watoto iliyofanyika katika hoteli ya Regence jijini Dar es Salaam.  Mratibu wa utetezi na ushawishi wa SOS nchini, John Batista akitoa maada katika  Semina iloyowashirikisha wanachama wa Chama cha Waandishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani