BAJETI YA WATOTO IONGEZWE KUTATUA CHANGAMOTO ZAO-C-SEMA
Mratibu wa programu na Uhamasishaji wa Shirika lisilo la kiserikali la C-Sema, Michael Kehongoh akitoa maada katika semina iloyowashirikisha wanachama wa Chama cha Waandishi wa habari za watoto(TAJOC),Watunga sera na watoa maamuzi kutoka Wizara mbalimbali katika kujadili masuala ya watoto iliyofanyika katika hoteli ya Regence jijini Dar es Salaam. Mratibu wa utetezi na ushawishi wa SOS nchini, John Batista akitoa maada katika Semina iloyowashirikisha wanachama wa Chama cha Waandishi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo14 Aug
Wathamini madini watakiwa kutatua changamoto zao
KAIMU Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Ngosi Mwihava amewataka Wathamini Madini ya Vito na Almasi nchini, kuendelea kuwa wabunifu kutafuta majibu na suluhisho kwa changamoto zinazokabili tasnia ya vito nchini.
9 years ago
MichuziSerikali kuendelea kushirikiana na Vijana katika kutatua changamoto zao
9 years ago
StarTV24 Dec
Wazazi waaswa kutatua tofauti zao ili kupunguza ongezeko La Watoto Wa Mitaani
Wakati miji mingi nchini ikiendelea kusongwa na ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira magumu, wazazi wana wajibu wa kutatua tofauti zao ili kupunguza na hatimaye kuondoa tatizo la watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi.
Ugomvi unaosababishwa na ulevi baina ya wanandoa ni aina nyingine ya changamoto zizomfanya mtoto kukimbilia mjini na hivyo kuongeza mzigo kwa taasisi zinazojihusisha na malezi ya watoto.
Malezi ya mtoto yapo mikono mwa wazazi, lakini kwa suala la elimu,...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Sikika yataka bajeti ya afya iongezwe
ASASI isiyokuwa ya kiserikali ya Sikika imewataka wabunge kujitahidi kuishawishi serikali kuongeza fedha kwenye Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa mwaka 2014/15. Mkurugenzi wa Sikika, Irenei Kiria, alitoa...
10 years ago
VijimamboNYALANDU KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO ZA UTALII NCHINI
Katika kuhakikisha hilo linafanyika kwa mafanikio na kwa haraka, Nyalandu ametangaza kuanza kwa vikao vitakavyowakutanisha wataalamu wa Wizara zinazohusika na maliasili na utalii za Tanzania na Kenya kwa lengo la kujadiliana masuala mbalimbali iili yapatiwe ufumbuzi kwa maslahi ya pande zote.
Hatua hiyo imetokana na...
10 years ago
Dewji Blog01 Jun
Wizara ya Elimu yashauriwa kutatua changamoto za walimu nchini
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2015/2016 bungeni mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii Bi. Margaret Sitta akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa mwaka wa fedha 2014/2015 leo bungeni mjini Dodoma.
Mhadhiri Msaidizi Idara ya Mimea kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam Bw. Heriel...
9 years ago
StarTV31 Aug
CCM ya ahidi kutatua changamoto zinazo wakabili wananchi Dodoma
Chama cha Mapinduzi CCM kimesema endapo wakazi wa Mkoa wa Dodoma watakichagua Oktoba 25 mwaka huu kitatatua matatizo yao yanayo wakabili kwa muda kwani kinayatambua.
Tatizo kubwa lililotajwa kuathiri wakazi hao ni ukame ambao unasababisha kukosekana kwa maji kwa ajili ya matumizi mbalimbali pamoja na ukosefu wa masoko ya mazao ya biashara ikiwemo Zabibu.
Kauli hiyo imetolewa na mgombea mwenza wa chama cha Mapinduzi Bi Samia Suluhu wakatia alipohutubia wananchi mkoani Dodoma katika harakati...
10 years ago
MichuziMradi wa TEDAP kutatua changamoto za upatikanaji wa umeme Jijini Dar
5 years ago
MichuziPROF MBARAWA AAHIDI KUTATUA CHANGAMOTO YA USAMBAZAJI MAJI IKWIRIRI
Waziri wa Maji Prof Makame Mbarawa amesema tatizo la upatikanaji wa maji katika halmashauri ya utete na tarafa ya Ikwiriri ni kutokana na kutokuwa na mtandao mpana wa mabomba ya usambazaji maji kwa wananchi.
Amesema hayo wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi ya maji katika tarafa ya Ikwiriri na kupata taarifa za mradi kutoka kwa wahandisi wanaoisimamia.
Mbarawa amesema, kuna changamoto ya upatikanaji wa maji halmashauri ya Utete na zaidi ni kutokana na...