MATEMBEZI YA SARATANI KUFANYIKA MAY 9 WASHINGTON, DC JIUNGE SASA UWAKILISHE TIMU TANZANIA
We have started a team for this year’s Susan G. Komen Global Race for the Cure™ on Saturday, May 9. The name of my team is TEAM TANZANIA.I’d love for you to be a part of TEAM TANZANIA. And joining us is easy! Go to GlobalRacefortheCure.org
> REGISTER and choose “Join a Team.”
I started a team because it is the best way to experience one of the best Races in the areaSusan G. Komen Global Race for the Cure
Welcome to the Susan G. Komen Global Race for the Cure. Learn more about the event....
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboTIMU TANZANIA YASHIRIKI MATEMBEZI YA SUSAN G. KOMEN WASHINGTON, DC
Timu Tanzania ikipata picha ya pamoja kabla ya kuanza matembezi ya saratani ya matiti ya Susan G. Komen yaliyofanyika Washington, DC siku ya Jumamosi May 9, 2015.
Wanusurika wa saratani ya matiti wakipata picha ya pamoja.
Matembezi yakianza.
Mwimbaji toka uingereza Matt Goss aliyeimba wimbo maalum kwa Strong kwa ajili ya matembezi haya ya Susan G. Komen ambaye mwaka jana mama yake mzazi alifariki kutokana na maradhi ya saratani ya matiti akipeana mkono na watembeaji wa saratatani ya titi. Kati...
10 years ago
Vijimambo11 years ago
MichuziTEAM TANZANIA KATIKA MATEMBEZI YA SUSAN G. KOMEN WASHINGTON, DC
Mmoja ya waandaaji wa matembezi ya Susan G. Komen ya saratani ya matiti akielezea jambo kabla ya kuanza kwa mbio kwa ajili ya mapambano ya Saratani hiyo hatari kwa akina mama ambayo Team Tanzania imeshiriki kwa mwaka watatu mfululizo. wanandugu wa Susan G. Komen wakiadhimisha siku ya dada yao kwenye maadhimisho ya mbio za saratani ya matiti zilizofanyika leo Jumamosi May 10, 2014 Washington, DC na mbio zilikuwa za maili 5. Watanzania wa DC walioshiriki mbio hizo. Team Tanzania...
9 years ago
Dewji Blog11 Oct
Tigo yashiriki matembezi ya kuchangia saratani ya matiti
Afisa huduma kwa jamii wa Kampuni ya Tigo, May Thomas (kulia) akishiriki matembezi ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti kwa akinamama yaliyodhaminiwa na kampuni hiyo Dar es Salam jana.
Washiriki wa matembezi ya hisani ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti kwa akinamama yaliyodhaminiwa na kampuni ya Tigo jijini Dar es Salam jana.
10 years ago
Vijimambo22 Oct
SHEREHE YA TANZANIA@53 FEAT. DIMAOND NA WCB DANCERS KUFANYIKA WASHINGTON DC DEC 6TH
Taarifa Zaidi Zinakuja - Jipange
11 years ago
GPLJIUNGE NA GLOBAL BREAKING NEWS SASA!
11 years ago
Dewji Blog11 May
Matembezi ya Susan G. Komen Washington, DC
wanandugu wa Susan G. Komen wakiadhimisha siku ya dada yao kwenye maadhimisho ya mbio za saratani ya matiti zilizofanyika jana Jumamosi May 10, 2014 Washington, DC na mbio zilikuwa za maili 5.
Mmoja wa wanusurika wa Saratani ya matiti akitoa ushuhuda wake...
10 years ago
Bongo510 Oct
Taasisi ya Saratani ya Ocean Road yaanda matembezi ya hisani Oct 12
11 years ago
Michuzi06 Jul
Michuzi TV IPO HEWANI...JIUNGE SASA - You'll love it!
JIUNGE HARAKA UPATE MAMBO MOTOMTO!!TUNAANZIA NA WATEJA WA VODACOM, AMBAO WANAKARIBISHWA KUPIGA *149*01# KISHA CHAGUA NAMBA 4 SIMU.tv (MPYA) HALAFU NENDA NAMBA 1. Habari (BURE), BAADA YA HAPO CHAGUA NAMBA 5 Michuzi TV (BURE) KISHA KUBALI...UNAKUWA UMESHAJISAJILI KWA HUDUMA HII MPYA. LIBENEKE OYE!