Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matokeo ya hivi punde zaidi ya uchaguzi Tanzania

Haya ndiyo matokeo ya uchaguzi wa urais Tanzania jimbo baada ya jimbo, kama yanavyotangazwa na Tume ya Uchaguzi Tanzania

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Matokeo ya punde zaidi ya uchaguzi Tanzania

Haya ndiyo matokeo ya uchaguzi wa urais Tanzania jimbo baada ya jimbo, kama yanavyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania

 

10 years ago

Dewji Blog

Ajali ya gari la Nganga na Fuso huko Ruaha Mbuyuni taarifa zaidi zitawajia hivi punde

unnamed (64)

 Basi la abiria la Nganga likionekana kuteketea kwa moto baada ya kugongana na Fuso majira ya saa mbili asubuhi leo Aprili 12, huko eneo la Ruaha Mbuyuni (Picha kwa mujibu wa mitandao ya kijamii).

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Chumba cha habari cha Modewji blog  makao makuu kinaendelea kuwasiliana na vyanzo mbalimbali vya habari kutoka eneo la tukio  la ajali  mbaya  iliyotokea mapema asubuhi ya leo Aprili 12 katika eneo hilo baada ya basi la abiria la Nganga linalofanya safari za Iringaa...

 

11 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZZ:TUKIO LA AJALI MIKESE HIVI PUNDE.

Chumba cha habari cha Globu ya Jamii hivi punde kimearifiwa na kutumiwa picha za tukio la ajali eneo la Mikese na Mdau Martin Mnyenyelwa,lakini hakutufahamisha kuhusiana na athari ya ajali hiyo akiwa kama shuhuda wa tukio hilo. Kulingana na tukio ya taarifa hii kuwa nyembamba,basi tuvute subira tutajuzana kadiri ya zitakavyokuwa zikiiingia kwenye chumba chetu cha habari

 

10 years ago

Dewji Blog

HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE: Muhammad Buhari ndiye rais mpya wa Nigeria

Buhari

Pichani ni Jenerali Muhammadu Buhari akiwa katika wakati wa kampeni muda mfupi kabla ya kupiga kura.

Kiongozi wa wa chama cha upinzani cha Nigeria jenerali Muhammadu Buhari ameshinda kura za urais na kumuondoa rais aliyeko Goodluck Jonathan mamlakani.

Tayari rais anayeondoka madarakani Goodluck Jonathan amekwisha mpigia simu mpinzani wake Jenerali Buhari na kumpongeza kwa ushindi huo wa kihistoria.

Hii ndiyo mara kwanza katika historia ya taifa hilo kwa rais wa nchi hiyo kung’olewa...

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA AWASILI MAKAO MAKUU YA CHADEMA KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS NDANI YA CHAMA HICHO HIVI PUNDE JIJINI DAR

Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Edward Lowassa akiwa sambamba na Mkewe Mama Reginal akiwasili makao Makuu ya chama cha CHADEMA yaliyopo Kinondoni jijini Dar hivi punde ,kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho,Mhe.Lowassa amekihama chama chake cha CCM na kujiunga na UKAWA kupitia chama cha CHADEMA na kukabidhiwa kadi ya uanachama hivi karibu,jijini Dar es Salaam.  Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,Mama Regina Lowassa akiwasili ofisi za Makao makuu ya CHADEMA yaliyopo Kinondoni jijini...

 

9 years ago

BBCSwahili

Matokeo ya uchaguzi wa urais Tanzania yanavyopokelewa

Haya ndiyo matokeo ya uchaguzi wa urais Tanzania kwa mujibu wa majimbo, kama yanavyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

NCHI ZAIDI ZADHAMIRIA KUJIFUNZA KWA TANZANIA KUHUSU MATOKEO MAKUBWA SASHA (BRN)

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Zanzibar,Utawala Bora, Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini akizungumza wakati akifunga mkutano wa Majadiliano ya Viongozi wa Jumuiya ya Madola ya Utawala Bora wa Afrika  uliofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.




Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais, Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia BRN, Bw. Omari Issa akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano wa jumuiya ya Madola ya Utawala Bora Afrika katika Mkutano uliofanyika leo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Burundi: Agathon Rwasa aapa kupinga matokeo ya uchaguzi wa Urais mahakamani

Bwana Rwasa amesema hakubaliani kabisa na matokeo aliyoyapata, akidai uchaguzi ulitawaliwa na vitendo vya wizi wa kura.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani