MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014 YATOKA
Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 – 21, yametoka. Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825.
Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.
SHULE 10 ZILIZOONGOZA1. Igowole2. Feza Boys3. Kisimiri4. Iwawa5. Kibaha6. Marian Girls7. Nangwa8. Uwata9. Kibondo10....
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
TZToday16 Jul
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014 YATANGAZWA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-oZzyoBzxuKA/VArD49fI4PI/AAAAAAAGfpU/7u1HNrIugus/s72-c/IMG_3365-.jpg)
MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014 IWAWA SEKONDARI, MKUU WA WILAYA YA MAKETE ATOA WOSIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-oZzyoBzxuKA/VArD49fI4PI/AAAAAAAGfpU/7u1HNrIugus/s1600/IMG_3365-.jpg)
Walimu na wanafunzi wa shule ya sekondari Iwawa iliyopo Makete mkoani Njombe wametakiwa kutoridhika na kubweteka na shule hiyo kushika nafasi ya nne kitaifa katika matokeo ya kidato cha sita 2014 yaliyotangazwa miezi michache iliyopita
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro katika hafla ya kuwapongeza walimu wa Iwawa sekondari baada ya shule hiyo kushika nafasi ya 4 kitaifa, nafasi ya 2 kikanda na nafasi ya 1 kwa mkoa wa Njombe...
11 years ago
Michuzi25 Jul
SHULE YA SEKONDARI IWAWA WILAYANI MAKETE YATOA SIRI YA KUFANYA VIZURI MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014
![](https://1.bp.blogspot.com/-w6Oen3ldf_8/U9E7uWw5T_I/AAAAAAAAO3Q/aPML3iORYZw/s1600/2014-07-24+13.08.07.jpg)
Na Edwin Moshi, MaketeIkiwa zimepita siku chache tangu kutangazwa matokeo ya kidato cha sita mwaka huu, shule ya sekondari Iwawa iliyoko wilayani Makete mkoani Njombe imetoa siri ya mafanikio ya wanafunzi wake kufaulu na kushika nafasi ya nne kitaifa. Akizungumza na mwandishi wetu ofisini kwake Makamu mkuu wa shule hiyo Mwl. Fadhili Dononda amesema miongoni mwa sababu hizo ni pamoja...
11 years ago
Mwananchi19 Jul
‘Matokeo kidato cha sita yanatia shaka’
11 years ago
Dewji Blog17 Jul
Peruzi matokeo ya Kidato cha Sita hapa
Kaimu Katibu Mkuu wa baraza la Taifa la Mitihani, Dk. Charles E. Msonde akisoma matokeo hayo ya mitihani ya kidato cha sita kwa mitihani iliyofanyika mwaka huu nchini kote.
BOFYA HAPA KUONA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014
10 years ago
Mwananchi15 Jul
Matokeo kidato cha sita yatangazwa, ufaulu waongezeka
10 years ago
Michuzi10 Nov
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AHMED .Z. MSANGI-SACP ANAWATANGAZIA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA
10 years ago
TZToday16 Feb