Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATUKIO MBALIMBLI KATIKA MSIBA WA MUFTI MKUU WA TANZANIA

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akitoa neno kwa umati wa waombolezaji katika msiba wa Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba nyumbani katika Mtaa wa Majengo mjini Shinyanga, baada ya mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Nguzo Nane mjini humo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji mke wa aliyekuwa Mufti Mkuu wa Tanzania, Marehemu Shaaban Issa Bin Simba, Bi Makaje Goso, wakati...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

CHADEMA WATOA SALAAM ZA POLE NA RAMBIRAMBI MSIBA WA MUFTI MKUU SHEIKH SIMBA


CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) SALAAM ZA POLE NA RAMBIRAMBI MSIBA WA MUFTI MKUU SHEIKH SIMBA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa taarifa za msiba wa Mufti Mkuu wa Tanzania Tanzania, Sheikh Issa Shaaban bin Simba, Kiongozi Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kilichotokea asubuhi ya leo kwa maradhi ya sukari na shinikizo la moyo.
Akitoa salaam za pole na rambirambi kwa waumini wa madhehebu ya Kiislamu...

 

5 years ago

Michuzi

Matukio Katika Picha: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefunga Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020 JNICC, DSM


 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akionesha zawadi ya fremu ya nembo ya Taifa iliyotengenezwa kwa madini alipotembelea mabanda katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2020, uliofanyika JNICC Jijini Dar es Salaam, kulia ni Waziri wa Madini, Mhe. Doto Biteko na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Simon Msanjira.  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, akiangalia madini ya Tanzanite katika moja ya...

 

10 years ago

Michuzi

CHADEMA WAMLILIA Mufti Mkuu wa Tanzania Tanzania, Sheikh Issa Shaaban bin Simba

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa taarifa za msiba wa Mufti Mkuu wa Tanzania Tanzania, Sheikh Issa Shaaban bin Simba, Kiongozi Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kilichotokea asubuhi ya leo kwa maradhi ya sukari na shinikizo la moyo.Akitoa salaam za pole na rambirambi kwa waumini wa madhehebu ya Kiislamu na Watanzania wote kwa ujumla baada ya kupata taarifa za msiba huo, Mwenyekiti wa CHADEMA (T), Freeman Mbowe amesema kuwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania kupatikana kesho

Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, anatarajiwa kupatikana kesho katika mkutano mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), utakaofanyika mjini hapa.

 

9 years ago

Mwananchi

Abubakary Zubeiry achaguliwa rasmi Mufti Mkuu wa Tanzania

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) leo limemchagua Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally  kuwa Mufti Mkuu wa Tanzania.

 

5 years ago

CCM Blog

MUFTI MKUU TANZANIA ASEMA HAKUTOKUWA NA HIJJA MWAKA HUU

  Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Abubakar Zubeir bin Ally kwa niaba ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), ametangaza kuwa mwaka huu hakutokuwa na ibada ya hijja hii ni kutokana na kauli iliyotolewa wiki hii na serikali ya Saudi Arabia kutokana na janga la Corona.
Abubakar Zubeir bin Ally ameyasema hayo leo Juni 25, 2020 wakati akiongea na waandishi wa habari ambapo ameeleza kuwa janga la Corona ndio limesababisha na haitakuwa kwa Tanzania pekee tu bali kwa Dunia nzima isipokuwa...

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Rufiji, Mohamed Mchegerwa na Mbunge wa Baraza la Wawakilishi, Amina Mabrouk kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 15, 2020.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Baraza la Wawakilishi, Amina Mabrouk kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 15, 2020.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mvomero,  Suleiman Ahmed Saddiq kwenye Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 15,...

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO KATIKA PICHA YA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kulia) akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma leo Aprili 8/2020.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Job Ndugai ofisini kwake bungeni jijini Dodoma leo Aprili 8/2020 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifuatalia mjadala wa Bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha wa 2020/2021 ulioiwasilishwa na Waziri wake,...

 

9 years ago

GPL

MUFTI MKUU WA TANZANIA, SHEKH, ABUBAKARI ZUBERI AZUNGUMZIA AJALI YA MSIKITI WA MAKKA

Mufti Mkuu wa Tanzania Shekh, Abu Bakari Zuberi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya  kutokea kwa tukio la ajali ya kuanguka kwa mashine ya ujenzi na kuangukia Jengo la Msikiti wa Makka nchini Saudi Arabia na kusababisha vifo vya watu mbalimbali. Mufti Mkuu wa Tanzania. Shekh, Abu Bakari Zuberi (kushoto) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari hawapo pichani leo Jijini Dar es… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani