Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUFTI MKUU WA TANZANIA, SHEKH, ABUBAKARI ZUBERI AZUNGUMZIA AJALI YA MSIKITI WA MAKKA

Mufti Mkuu wa Tanzania Shekh, Abu Bakari Zuberi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya  kutokea kwa tukio la ajali ya kuanguka kwa mashine ya ujenzi na kuangukia Jengo la Msikiti wa Makka nchini Saudi Arabia na kusababisha vifo vya watu mbalimbali. Mufti Mkuu wa Tanzania. Shekh, Abu Bakari Zuberi (kushoto) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari hawapo pichani leo Jijini Dar es… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MUFTI MKUU WA TANZANIA,SHEKH, ABUBAKARI ZUBERI AZUNGUMZIA AJALI YA MSIKITI WA MAKKA

 Mufti Mkuu wa Tanzania Shekh, Abu Bakari Zuberi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya  kutokea kwa tukio la ajali ya kuanguka kwa mashine ya ujenzi na kuangukia Jengo la Msikiti wa Makka nchini Saudi Arabia na kusababisha vifo vya watu mbalimbali. Mufti Mkuu wa Tanzania. Shekh, Abu Bakari Zuberi (kushoto) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari hawapo pichani leo Jijini Dar es Salaam.( Picha na Emmanuel Massaka)

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZ: MUFTI SHEKH MKUU WA TANZANIA, ISSA BIN SHAABAN SIMBA AFARIKI DUNIA

MUFTI  Shekh  Mkuu wa Tanzania, Issa Bin Shaaban Simba, enzi za uhai wake.
MUFTI  Shekh  Mkuu wa Tanzania, Issa Bin Shaaban Simba amefariki dunia leo katika hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam.

MUNGU ILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAEREHEMU.

Endelea kufuatilia taarifa zaidi.

 

9 years ago

Michuzi

HAFLA YA KUMKARIBISHA RASMI BAKWATA MUFTI MKUU MPYA WA TANZANIA SHEIKH ABUBAKAR ZUBERI BIN ALLY

 Mufti Mkuu mpya wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuberi bin Ally  akiongea na mamia ya Waislamu waliojitokeza kumkaribisha rasmi makao makuu ya Baraza Kuu la Waislamu la Tanzania (BAKWATA) Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam Ijumaa jioni.  Rais Mstafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya kumkaribisha rasmi Mufti Mkuu mpya wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuberi bin Ally   makao makuu ya Baraza Kuu la Waislamu la Tanzania (BAKWATA) Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam Ijumaa...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWWWWWZ SHEIKH ABUBAKARI ZUBERI ATEULIWA KUWA KAIMUMUFTI WA TANZANIA


BARAZA LA ULAMAA LIME KUTANA MUDA HU 
NA KWA KAULI  MOJA WAME  MTEUA SHEIKH ABUBAKARI ZUBERI KUWA KAIMUMUFTI WA TANZANIA 
KWA KURA ZOOTE 8 
MUNGU AMBARIKIE NA 
AMREHEM MUFTI ALIE TANGULIA MBELE YA HAQI

 

10 years ago

GPL

SHEIKH ABUBAKARI BIN ALLY ATEULIWA KAIMU MUFTI

Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wakiwa nje ya ofisi ya Bakwata baada ya kumalizika uteuzi huo. Mkuu wa Islamic Social Services Development Center, Sheikh Hassan Chizenga, akihojiwa na wanahabari.…

 

9 years ago

Mtanzania

Msikiti wa Makka waanguka, waua 65

makkah1MAKKA, SAUDI ARABIA

MSIKITI Mkuu wa Makka ambao waumini wa dini ya kiislamu wamekuwa wakiutumia kufanyia Hija umeanguka na kuua watu 65 huku wengine wanane wakijeruhiwa vibaya katika tukio lililotokea jana nchini Saudi Arabia.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika la utangazaji la Uingereza, BBC chanzo cha tukio hilo ni winchi lililokuwa linatumika katika ukarabati wa msikiti huo kupata hitilafu na kuangukia jengo la msikiti huo.

Mamlaka za usalama nchini humo zimethibitisha kutokea...

 

9 years ago

Mwananchi

Hongera Mufti Zuberi, kila la heri katika kazi

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limemthibitisha Abubakar Zuberi kuwa Mufti Mkuu baada ya kupata kura 310 katika mkutano uliofanyika Alhamisi mjini Dodoma.

 

11 years ago

Mwananchi

Waumini wafunga msikiti kumpinga Mufti

Kundi la waumini wa Kiislamu mjini Tabora, wamefunga Msikiti Mkuu wa Ijumaa kwa siku mbili kupinga kutumiwa na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani