MUFTI MKUU WA TANZANIA,SHEKH, ABUBAKARI ZUBERI AZUNGUMZIA AJALI YA MSIKITI WA MAKKA
Mufti Mkuu wa Tanzania Shekh, Abu Bakari Zuberi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya kutokea kwa tukio la ajali ya kuanguka kwa mashine ya ujenzi na kuangukia Jengo la Msikiti wa Makka nchini Saudi Arabia na kusababisha vifo vya watu mbalimbali.
Mufti Mkuu wa Tanzania. Shekh, Abu Bakari Zuberi (kushoto) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari hawapo pichani leo Jijini Dar es Salaam.( Picha na Emmanuel Massaka)
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLMUFTI MKUU WA TANZANIA, SHEKH, ABUBAKARI ZUBERI AZUNGUMZIA AJALI YA MSIKITI WA MAKKA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Iebe9m5XXaM/VX6Bt5wJjMI/AAAAAAAHfek/JJqax9PgWR0/s72-c/ShekheMkuu.jpg)
BREAKING NEWZ: MUFTI SHEKH MKUU WA TANZANIA, ISSA BIN SHAABAN SIMBA AFARIKI DUNIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-Iebe9m5XXaM/VX6Bt5wJjMI/AAAAAAAHfek/JJqax9PgWR0/s640/ShekheMkuu.jpg)
MUFTI Shekh Mkuu wa Tanzania, Issa Bin Shaaban Simba amefariki dunia leo katika hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam.
MUNGU ILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAEREHEMU.
Endelea kufuatilia taarifa zaidi.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-yX2dtDJZiTo/VfOUbhygfhI/AAAAAAAH4IQ/SH3sMLDY0dk/s72-c/unnamed%2B%252836%2529.jpg)
HAFLA YA KUMKARIBISHA RASMI BAKWATA MUFTI MKUU MPYA WA TANZANIA SHEIKH ABUBAKAR ZUBERI BIN ALLY
![](http://3.bp.blogspot.com/-yX2dtDJZiTo/VfOUbhygfhI/AAAAAAAH4IQ/SH3sMLDY0dk/s640/unnamed%2B%252836%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-8enGlbnI53k/VfOUblTUsuI/AAAAAAAH4IU/fq4Xkvz4R0E/s640/unnamed%2B%252837%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-jLQz3lDAEtQ/VYfJvWRPQYI/AAAAAAAHiZs/DHB7NWPybmg/s72-c/blogger-image-1017248852.jpg)
BREAKING NEWWWWWZ SHEIKH ABUBAKARI ZUBERI ATEULIWA KUWA KAIMUMUFTI WA TANZANIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-jLQz3lDAEtQ/VYfJvWRPQYI/AAAAAAAHiZs/DHB7NWPybmg/s200/blogger-image-1017248852.jpg)
BARAZA LA ULAMAA LIME KUTANA MUDA HU
NA KWA KAULI MOJA WAME MTEUA SHEIKH ABUBAKARI ZUBERI KUWA KAIMUMUFTI WA TANZANIA
KWA KURA ZOOTE 8
MUNGU AMBARIKIE NA
AMREHEM MUFTI ALIE TANGULIA MBELE YA HAQI
10 years ago
GPLSHEIKH ABUBAKARI BIN ALLY ATEULIWA KAIMU MUFTI
9 years ago
Mtanzania12 Sep
Msikiti wa Makka waanguka, waua 65
MAKKA, SAUDI ARABIA
MSIKITI Mkuu wa Makka ambao waumini wa dini ya kiislamu wamekuwa wakiutumia kufanyia Hija umeanguka na kuua watu 65 huku wengine wanane wakijeruhiwa vibaya katika tukio lililotokea jana nchini Saudi Arabia.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika la utangazaji la Uingereza, BBC chanzo cha tukio hilo ni winchi lililokuwa linatumika katika ukarabati wa msikiti huo kupata hitilafu na kuangukia jengo la msikiti huo.
Mamlaka za usalama nchini humo zimethibitisha kutokea...
9 years ago
Mwananchi12 Sep
Hongera Mufti Zuberi, kila la heri katika kazi
10 years ago
Michuzi05 Sep
11 years ago
Mwananchi11 Jun
Waumini wafunga msikiti kumpinga Mufti