BREAKING NEWWWWWZ SHEIKH ABUBAKARI ZUBERI ATEULIWA KUWA KAIMUMUFTI WA TANZANIA
BARAZA LA ULAMAA LIME KUTANA MUDA HU
NA KWA KAULI MOJA WAME MTEUA SHEIKH ABUBAKARI ZUBERI KUWA KAIMUMUFTI WA TANZANIA
KWA KURA ZOOTE 8
MUNGU AMBARIKIE NA
AMREHEM MUFTI ALIE TANGULIA MBELE YA HAQI
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSHEIKH ABUBAKARI BIN ALLY ATEULIWA KAIMU MUFTI
Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wakiwa nje ya ofisi ya Bakwata baada ya kumalizika uteuzi huo. Mkuu wa Islamic Social Services Development Center, Sheikh Hassan Chizenga, akihojiwa na wanahabari.…
9 years ago
GPLMUFTI MKUU WA TANZANIA, SHEKH, ABUBAKARI ZUBERI AZUNGUMZIA AJALI YA MSIKITI WA MAKKA
Mufti Mkuu wa Tanzania Shekh, Abu Bakari Zuberi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya kutokea kwa tukio la ajali ya kuanguka kwa mashine ya ujenzi na kuangukia Jengo la Msikiti wa Makka nchini Saudi Arabia na kusababisha vifo vya watu mbalimbali. Mufti Mkuu wa Tanzania. Shekh, Abu Bakari Zuberi (kushoto) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari hawapo pichani leo Jijini Dar es… ...
9 years ago
MichuziMUFTI MKUU WA TANZANIA,SHEKH, ABUBAKARI ZUBERI AZUNGUMZIA AJALI YA MSIKITI WA MAKKA
Mufti Mkuu wa Tanzania Shekh, Abu Bakari Zuberi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya kutokea kwa tukio la ajali ya kuanguka kwa mashine ya ujenzi na kuangukia Jengo la Msikiti wa Makka nchini Saudi Arabia na kusababisha vifo vya watu mbalimbali. Mufti Mkuu wa Tanzania. Shekh, Abu Bakari Zuberi (kushoto) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari hawapo pichani leo Jijini Dar es Salaam.( Picha na Emmanuel Massaka)
9 years ago
Habarileo19 Nov
BREAKING NEWS: Kassim Majaliwa ateuliwa na Rais kuwa Waziri Mkuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli ametegua kitendawili cha nani kuwa waziri mkuu kwa kumteua Mbunge wa Rwangwa Kassim Majaliwa kuchukua nafasi hiyo kubwa serikalini.
9 years ago
MichuziHAFLA YA KUMKARIBISHA RASMI BAKWATA MUFTI MKUU MPYA WA TANZANIA SHEIKH ABUBAKAR ZUBERI BIN ALLY
Mufti Mkuu mpya wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuberi bin Ally akiongea na mamia ya Waislamu waliojitokeza kumkaribisha rasmi makao makuu ya Baraza Kuu la Waislamu la Tanzania (BAKWATA) Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam Ijumaa jioni. Rais Mstafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya kumkaribisha rasmi Mufti Mkuu mpya wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuberi bin Ally makao makuu ya Baraza Kuu la Waislamu la Tanzania (BAKWATA) Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam Ijumaa...
10 years ago
MichuziBREAKING NEWZZZZ: Beatus Kinyaia ateuliwa kuwa Askofu Mkuu wa jimbo kuu Katoliki la Dodoma.
Na Frederic M. Gabriel wa Globu ya Jamii
Hatimaye leo baba Mtakatifu Papa Francisco amempandisha kutoka askofu hadi kuwa askofu Mkuu askofu Beatus Kinyaiya, O.F.M. Cap (pichani) wa jimbo kuu Katoliki la Dodoma.Askofu Beatus Kinyaiya alizaliwa Mei 9, 1957. Akapata daraja takatifu la Upadre katika shirika la Kimisionari la Wafranciscan Minor tarehe 25 juni, 1989. Aliteuliwa kuwa askofu wa jimbo Katoliki la Mbulu tarehe 22 Aprili, 2006, nakusimikwa/ wekwa wakfu rasmi na Kardinali Polycarp...

IPPmedia23 Jun
Abubakari bin Ally named acting Chief Sheikh
IPPmedia
Abubakari bin Ally named acting Chief Sheikh
IPPmedia
Newly elected acting Chief Sheikh Abubakar Zubeir Ally addresses press conference in Dar es Salaam yesterday. Ulamaa Council of Tanzania has unanimously elected Abubakari Zuberi bin Ally to act as Chief Sheikh for the next three months, in the wake of ...
Sheikh Abubakar picked interim MuftiDaily News
all 2
10 years ago
VijimamboBREAKING NEWS: MUFTI MKUU WA TANZANIA SHEIKH ISSA SHAABAN SIMBA AFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI
Aliyekuwa Sheikh mkuu wa Tanzania Sheikh Issa Bin Shabani Simba enzi za uhai wake
Habari zilizotufikia hivi punde zinaarifu kuwa Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Shaaban Issa Simba amefariki dunia.Akidhibitisha kutokea kwa kifo hicho Shehe Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhadi Mussa Salim amesema Mufti amefikwa na umauti hii leo asubuhi."Ni kweli Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Shaaban Issa Simba amefariki hii leo asubuhi kwa maradhi ya sukari na presha," alisema kwa ufupi Sheikh...

Vijimambo08 Sep
Flaviana Matata ateuliwa kuwa Balozi wa hiyari wa Utalii Tanzania.
Dr Adelhelm James Meru akimkabidhi Flaviana Matata barua ya kuchaguliwa kwake huku kaimu Mkurugenzi Devota Mdachi akishuhudia, katika ofisi za wizara hiyo
Mwanamitindo wa Kimataifa anaefanyia kazi zake za nchini Marekani Flaviana Matata amechagulia na Wizara ya Maliasili kuwa Balozi wa Hiyari 'Good Will Ambassador' kwa kipindi cha miaka mitatu kwa dhumuni la kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania ndani na nje ya nchi.
Flaviana ambaye juzi alikuwa mmoja kati ya shuhuda wa kushuhudia...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania