Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Abubakary Zubeiry achaguliwa rasmi Mufti Mkuu wa Tanzania

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) leo limemchagua Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally  kuwa Mufti Mkuu wa Tanzania.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SHEIKH ABUBAKARY ZUBER ACHAGULIWA KUWA MUFTI WA TANZANIA

Wakatikati ni Mufti mpya Sheikh Abubakary Zuber ambaye amechaguliwa leo na wajumbe wa BAKWATA mkoani Dodoma kuwa Mufti wa Tanzania  akichukua nafasi  ya hayati Sheikh Issa Bin Simba.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akutana na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry Ikulu Jijini Dar

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry Ikulu jijini Dar es salaam jana.

mu2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) Sheikh Suleiman Lolila  Ikulu jijini Dar es salaam.

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza  Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry Ikulu jijini Dar es salaam. mu4

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA KAIMU MUFTI MKUU WA TANZANIA SHEIKH ABUBAKAR ZUBEIRY IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry Ikulu jijini Dar es salaam leo.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) Sheikh Suleiman Lolila  Ikulu jijini Dar es salaam leo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza  Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry Ikulu jijini Dar es salaam leo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa...

 

9 years ago

GPL

SHEIKH ABUBAKARY ZUBEIR NDIYE MUFTI MPYA WA TANZANIA

Mufti mpya wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir. WAJUMBE 310 wa Baraza Kuu la Waislamu nchini (Bakwata), leo wakiwa mkoani Dodoma wamemchagua Sheikh Abubakary Zubeir kuwa Mufti wa Tanzania akiziba nafasi iliyoachwa na hayati Issa Shaaban bin Simba. Kabla ya uchaguzi huo, Sheikh Abubakary Zubeir, alikuwa Kaimu Mufti wa Tanzania kwa kipindi cha mpito baada ya kifo cha Sheikh Mkuu, Issa Shaaban bin Simba. Awali Sheikh Zubeir alikuwa...

 

9 years ago

Michuzi

HAFLA YA KUMKARIBISHA RASMI BAKWATA MUFTI MKUU MPYA WA TANZANIA SHEIKH ABUBAKAR ZUBERI BIN ALLY

 Mufti Mkuu mpya wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuberi bin Ally  akiongea na mamia ya Waislamu waliojitokeza kumkaribisha rasmi makao makuu ya Baraza Kuu la Waislamu la Tanzania (BAKWATA) Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam Ijumaa jioni.  Rais Mstafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya kumkaribisha rasmi Mufti Mkuu mpya wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuberi bin Ally   makao makuu ya Baraza Kuu la Waislamu la Tanzania (BAKWATA) Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam Ijumaa...

 

9 years ago

Daily News

Sheikh Zubeiry is new Mufti


Daily News
Sheikh Zubeiry is new Mufti
Daily News
THE National Muslim Council, BAKWATA, which met in Dodoma, has elected Sheikh Abubakary Zubeiry as Chief Mufti. Sheikh Zubeiry was picked Acting Chief Mufti on June 22 following the death of Mufti Issa Shaaban Bin Simba. According to BAKWATA ...

 

10 years ago

CloudsFM

Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally achaguliwa kuwa Kaimu Mufti.

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limemtangaza Naibu Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally kukaimu nafasi ya mufti na sheikh mkuu.
Uteuzi huo unatokana na kifo cha Mufti Issa Shaaban Bin Simba siku saba zilizopita.

Akizungumza jana na waandishi wa habari, katibu mkuu wa Bakwata, Suleiman Lolila alisema uchaguzi wa kumpata kaimu mufti ulifanywa kwa siku saba tangu kufariki kwa Mufti Simba.

Mufti Simba alifariki dunia Juni 15, mwaka huu katika hospitali ya TMJ jijini...

 

10 years ago

Michuzi

CHADEMA WAMLILIA Mufti Mkuu wa Tanzania Tanzania, Sheikh Issa Shaaban bin Simba

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa taarifa za msiba wa Mufti Mkuu wa Tanzania Tanzania, Sheikh Issa Shaaban bin Simba, Kiongozi Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kilichotokea asubuhi ya leo kwa maradhi ya sukari na shinikizo la moyo.Akitoa salaam za pole na rambirambi kwa waumini wa madhehebu ya Kiislamu na Watanzania wote kwa ujumla baada ya kupata taarifa za msiba huo, Mwenyekiti wa CHADEMA (T), Freeman Mbowe amesema kuwa...

 

10 years ago

GPL

ZITTO KABWE ACHAGULIWA KUWA MKUU WA CHAMA CHA ACT TANZANIA

Kiongozi mpya wa chama cha ACT Tanzania, Zitto Kabwe akionyesha alama ya chama ambayo ni "Uwazi" baada ya kuchaguliwa.      Zitto akihutubia wajumbe.                 Zitto akihutubia wajumbe wakati wa uchaguzi huo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani