SHEIKH ABUBAKARY ZUBER ACHAGULIWA KUWA MUFTI WA TANZANIA
![](http://3.bp.blogspot.com/--YEBoxR6qBI/VfF1b5SYo9I/AAAAAAAH3z8/SoxdcM_YDnI/s72-c/IMG-20150910-WA0030.jpg)
Wakatikati ni Mufti mpya Sheikh Abubakary Zuber ambaye amechaguliwa leo na wajumbe wa BAKWATA mkoani Dodoma kuwa Mufti wa Tanzania akichukua nafasi ya hayati Sheikh Issa Bin Simba.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi10 Sep
Abubakary Zubeiry achaguliwa rasmi Mufti Mkuu wa Tanzania
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/Sheikh-Abubakar-Zuberi-bin-Ally.jpg)
SHEIKH ABUBAKARY ZUBEIR NDIYE MUFTI MPYA WA TANZANIA
10 years ago
CloudsFM23 Jun
Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally achaguliwa kuwa Kaimu Mufti.
Uteuzi huo unatokana na kifo cha Mufti Issa Shaaban Bin Simba siku saba zilizopita.
Akizungumza jana na waandishi wa habari, katibu mkuu wa Bakwata, Suleiman Lolila alisema uchaguzi wa kumpata kaimu mufti ulifanywa kwa siku saba tangu kufariki kwa Mufti Simba.
Mufti Simba alifariki dunia Juni 15, mwaka huu katika hospitali ya TMJ jijini...
10 years ago
Dewji Blog16 Jun
Rais Kikwete aomboleza kifo cha Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Sheikh Issa Bin Shaaban Simba
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono na marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Sheikh Issa Bin Shaaban Simba (kushoto) enzi za uhai wake.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Waislamu wote nchini na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA)) kufuatia kifo cha Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Sheikh Issa Bin Shaaban Simba.
Marehemu Mufti amefariki leo 15/6/2015 asubuhi katika hospitali ya TMJ – DSM alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa sukari na shinikizo...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OkkR6evK9Rk/VX7rn4sF-JI/AAAAAAAHfss/hR6YXhCRfO4/s72-c/index.jpg)
RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AMETUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA WAISLAMU WOTE NA BAKWATA KUFUATIA KIFO CHA SHEIKH MKUU WA TANZANIA MUFTI SHEIKH ISSA BIN SHAABAN SIMBA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
![](http://2.bp.blogspot.com/-OkkR6evK9Rk/VX7rn4sF-JI/AAAAAAAHfss/hR6YXhCRfO4/s1600/index.jpg)
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Waislamu wote nchini na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA)) kufuatia kifo...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/kBQWtQ8YVu4/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3AC2EKavkus/VX9ZmFIWHXI/AAAAAAAHf2Q/3l2dS5L_s00/s72-c/images.jpg)
CHADEMA WAMLILIA Mufti Mkuu wa Tanzania Tanzania, Sheikh Issa Shaaban bin Simba
![](http://2.bp.blogspot.com/-3AC2EKavkus/VX9ZmFIWHXI/AAAAAAAHf2Q/3l2dS5L_s00/s640/images.jpg)
9 years ago
Mwananchi09 Sep
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania kupatikana kesho
10 years ago
Dewji Blog15 Jun
MUFTI Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba, afarikki dunia
Mufti Simba enzi za Uhai wake..
Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba, amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam.
Taarifa kutoka mamlaka husika na dini na ndugu wa karibu walieleza kuwa, mwili wa marehemu umeondolewa hospitali hapo na kuhamishiwa hospitali kuu ya Jeshi ya Lugalo kungoja taratibu za mazishi.
Kwamujibu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amesema kuwa marehemu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo...