Matukio Picha Hafla ya Wanahabari na Kampuni ya Afrika Internet Holding
Meneja wa Kampuni ya Lamudi nchini Tanzania, Godlove Nyagawa akizungumza na wageni waalikwa wanahabari na wadau wengine wa kampuni hiyo kwenye hafla ya kufahamiana iliyoandaliwa na Afrika Internet Holding.
Meneja wa Kampuni ya Kaymu.com nchini Tanzania, Erfam Mosgani (kushoto) akizungumza na baadhi ya wageni waalikwa katika hafla ya kufahamiana na kubadilishana uzoefu na wanahabari iliyoandaliwa na kampuni ya Afrika Internet Holding.
Kutoka kushoto ni Meneja wa Kampuni ya Kaymu.com nchini...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog19 Jan
Matukio ya picha hafla ya wanahabari na kampuni ya Afrika Internet Group
![Meneja wa Kampuni ya Lamudi nchini Tanzania, Godlove Nyagawa akizungumza na wageni waalikwa wanahabari na wadau wengine wa kampuni hiyo kwenye hafla ya kufahamiana iliyoandaliwa na Afrika Internet Holding.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/01/IMG_0016.jpg)
Meneja wa Kampuni ya Lamudi nchini Tanzania, Godlove Nyagawa akizungumza na wageni waalikwa wanahabari na wadau wengine wa kampuni hiyo kwenye hafla ya kufahamiana iliyoandaliwa na Afrika Internet Group mwishoni mwa juma.
![Meneja wa Kampuni ya Kaymu.com nchini Tanzania, Erfam Mosgani (kushoto) akizungumza na baadhi ya wageni waalikwa katika hafla ya kufahamiana na kubadilishana uzoefu na wanahabari iliyoandaliwa na kampuni ya Afrika Internet Holding.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/01/IMG_0039.jpg)
Meneja wa Kampuni ya Kaymu.com nchini Tanzania, Erfam Mosgani (kushoto) akizungumza na baadhi ya wageni waalikwa katika hafla ya kufahamiana na kubadilishana uzoefu na wanahabari iliyoandaliwa na kampuni ya Afrika Internet Group.
![Kutoka kushoto ni Meneja wa Kampuni ya Kaymu.com nchini Tanzania, Erfam Mosgani (kushoto), Meneja Mwendeshaji wa Mo Blog, Mr. Zainul M. na Mkuu wa Kitengo cha Biashara na Mahusiano Kaymu.com, Angaza Nkurlu wakibadilishana uzoefu katika hafla ya kufahamiana iliyoandaliwa na kampuni ya Afrika Internet Holding.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/01/IMG_0036.jpg)
Kutoka kushoto ni Meneja wa Kampuni ya...
9 years ago
VijimamboPICHA: JUST PICHA: MATUKIO MBALIMBALI YA KAMPENI ZA MWANA DIASPORA LIBE
Mh. Mwang'ombe anaamini kuwa huwezi kuibadili Dodoma kwa kukaa nje ya mjengo. Ni lazima uingie Dodoma ili uweze kuibadilisha na kupitisha agenda za diaspora. Hivyo basi, anawaomba diaspora wote bila kujali...
11 years ago
MichuziWANAHABARI KILIMANJARO WAPIGWA MSASA JUU YA MATUMIZI YA INTERNET KWA SHUGHULI ZA UANDISHI WA HABARI
5 years ago
CCM BlogKAMPUNI YA BARRICK YAILIPA SERIKALI BILIONI 250, WAZIRI WA FEDHA AHUTUBIA HAFLA HIYO
Na Farida Ramadhani na Josephine Majura
KAMPUNI ya Barrick imeilipa Tanzania dola milioni 100, sawa na takriban sh. bilioni 250, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ambazo Kampuni hiyo ya Madini ilikubali kulipa kama fidia ya kodi.
Mfano wa Hundi ya kiasi hicho cha fedha imekabidhiwa na Meneja Mkazi wa Kampuni ya Barrick, Bw. Hilaire Diarra kwa Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, kwa niaba ya Serikali, Jijini Dodoma leo Mei 26, 2020.
Akizungumza baada ya kupokea...
10 years ago
Bongo Movies09 Dec
JE Kajala Ame-Break The Internet Kwa Picha Hizi?!!!
Leo ikiwa ni siku ya mapumziko, tusherekea miaka 53 ya uhuru wa Tanganyika ambayo iliungana na Zanzibar na sasa inaitwa Tanzania, akionekana mwenye furaha kwa tabasamu na pozi mbalimbali maeneo ya ufukweni , Kajala Masanja ambae ni muigizaji na mkurugenzi wa K entertainments, aliziweka picha zake hizi mtandaoni na kuandika “Wee unaniona hapa me najiona mbaaaaali” akiashilia kuwa mwenye furaha na amani tele.
Kilichofanya nizilete hapa ni likes na comments za ‘Followers’ wake ambao kwa kwa...
5 years ago
MichuziKAMPUNI YA BARRICK YAILIPA SERIKALI DOLA MILIONI 100, WAZIRI WA FEDHA AHUTUBIA HAFLA HIYO
Na Farida Ramadhani na Josephine Majura
KAMPUNI ya Barrick imeilipa Tanzania dola milioni 100, sawa na takriban sh. bilioni 250, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ambazo Kampuni hiyo ya Madini ilikubali kulipa kama fidia ya kodi.
Mfano wa Hundi ya kiasi hicho cha fedha imekabidhiwa na Meneja Mkazi wa Kampuni ya Barrick, Bw. Hilaire Diarra kwa Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, kwa niaba ya Serikali, Jijini Dodoma leo Mei 26, 2020.
Akizungumza baada ya...
10 years ago
Bongo507 Jan
Lulu anajaribu ‘kubreak the Internet’ kibongobongo kwa picha hizi
5 years ago
BBCSwahili06 Jun
Habari katika picha: Baadhi ya picha bora zilizopigwa barani Afrika