Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matukio yaliyotikisa na kuzua gumzo 2013

>Zimebaki siku chache kabla ya kuuaga mwaka 2013, mwaka ambao umekuwa na matukio mengi yaliyoitikisa nchi ya Tanzania, huku mengine yakiipa sifa kubwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mambo 4 yaliyotikisa 2013

Katika harakati za Mapinduzi ya kiuchumi nchini hayawezi kuepuka matumizi ya rasilimali watu, maliasili na rasrimali za taifa, Miundombinu endelevu, ushindani wa kibiashara, vyanzo vya ukusanyaji mapato na njia nyingine.

 

10 years ago

GPL

MATUKIO YALIYOTIKISA NCHI MWAKA 2014

Msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiwa na mshindi wa shindano la Big Brothers Idris. MWAKA 2014 unafikia tamati leo. Kwa Watanzania, kuna matukio mbalimbali yaliyojitokeza ambayo yameacha kumbukumbu kubwa kwao. Hata hivyo, yafuatayo ndiyo mambo yaliyotia fora zaidi. Viungo vingi vya binadamu vikiwa vimetupwa katika machimbo ya kokoto yaliyopo Bunju, Dar.
VIUNGO VYA BINADAMU VYASHTUA… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Mambo yaliyotikisa anga ya siasa za Tanzania mwaka 2013

Leo tunaanza mwaka mpya, huku tukiwa na kumbukumbu ya mambo yaliyotikisa anga za siasa hapa nchini katika mwaka 2013 kama yafuatayo:

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS SHEIN ATAJA MATUKIO YALIYOTIKISA UTAWALA WAKE

DAKTARI Ali Shein, Rais wa Awamu ya Saba wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), ametaja misukosuko aliyokumbana nayo katika utawala wake.
Mwaka huu Rais Shein anamaliza muda wake wa vipindi viwili kuiongoza Zanzibar (2010/2015 na 2015/2020), tangu alipoingia madarakani mwezi Novemba 2010.

Akihutubia wakati anavunja shughuli za Baraza la Tisa la Wawakilishi la Zanzibar, leo Jumamosi tarehe 20 Juni 2020, Rais Shein amesema utawala wake uliongoza kwa kuwa upandikizwaji chuki, dharau na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Karatu Sports Festival 2013 ilivyoacha gumzo

MBIO za Karatu Sports Festival 2013 zilizofanyika juzi, zilimalizika kwa mwanadada Catherine Range kutoka Jeshi la Magereza Arusha kuibuka kidedea baada ya kumpiku Mary Naali kwa sekunde moja. Wanariadha hao...

 

5 years ago

BBCSwahili

Matukio ya 'wasiojulikana' yaliyoibua gumzo nchini Tanzania

Matukio ya watu wasiojulikana kutekeleza mashambulizi yameibua hisia mchanganyiko, na maswali yasiyo na majibu kuhusu watu wanaotekeleza matukio hayo nchini Tanzania

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo yaliyotikisa uchumi wa Tanzania 2014

 ‘Fumbo’ pekee lililokosa majibu mpaka sasa kwa mtanzania maskini ni pale anapotazama utofauti mkubwa wa takwimu kati ya umaskini wake na ukuaji uchumi wa Taifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani