Matumizi ya herufi kubwa
Matumizi ya Herufi Kubwa. Na Stephen Maina Wasomaji wengi wanaweza kudhani kuwa makala haya yamepitwa na wakati lakini sivyo ilivyo. Nadhamiria kwa dhati kutoa ufafanuzi kidogo kuhusu matumizi ya herufi kubwa baada ya kugundua kuwa baadhi ya waandishi hunipigia simu na pia hunifuata wakitaka kufahamu ni wapi katika sentensi tunatumia herufi kubwa. Mahojiano haya yananikumbusha somo la Kiswahili katika shule za msingi  nikiwa darasa la nne. Somo hili lilifundishwa na walimu wenye kiwango...
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi18 May
Matumizi ya herufi ‘h’ na upotoshaji wa neno ‘kufariki’
10 years ago
Jamtz.Com![](http://1.bp.blogspot.com/-5MBPQivgjQM/VBb3psEnveI/AAAAAAAABIw/MPkNulezkxE/s72-c/MB%2BDogg.jpg)
10 years ago
Bongo512 Sep
New Music: Mb Dog — Herufi Kuu
10 years ago
Michuzi14 Sep
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-42hoMhp4nWg/VSy0OJFmK-I/AAAAAAABLdE/jwX7WPi12Cg/s72-c/iStock_000019688253Small-2.jpg)
JE UNAITAMBUA SIRI YA HERUFI YA MWANZO YA JINA LAKO BASI SOMA HAPA KUIJUA SASA
![](http://3.bp.blogspot.com/-42hoMhp4nWg/VSy0OJFmK-I/AAAAAAABLdE/jwX7WPi12Cg/s1600/iStock_000019688253Small-2.jpg)
HERUFI AMwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira.
HERUFI BMwenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu, mkarimu, muaminifu, na hupenda kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika vita au pale anapotaka kulinda vilivyo katika himaya yake.
HERUFI CMwenye jina linaloanziana na herufi C ni mtu wa...