Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matumizi ya herufi ‘h’ na upotoshaji wa neno ‘kufariki’

Sehemu ya kwanza ya makala yangu nitaitumia kwa ajili ya kutoa maoni ya wasomaji wa gazeti la Mwananchi. Nimechagua wasomaji watatu walioniandikia na nikaona ni bora mawazo yao yaenee kwa wasomaji wengine kama changamoto zinazoikabili lugha ya Kiswahili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Matumizi ya herufi kubwa

Matumizi ya Herufi Kubwa. Na Stephen Maina Wasomaji wengi wanaweza kudhani kuwa makala haya yamepitwa na wakati lakini sivyo ilivyo. Nadhamiria kwa dhati kutoa ufafanuzi kidogo kuhusu matumizi ya herufi kubwa baada ya kugundua kuwa baadhi ya waandishi hunipigia simu na pia hunifuata wakitaka kufahamu ni wapi katika sentensi tunatumia herufi kubwa. Mahojiano haya yananikumbusha somo la Kiswahili katika shule za msingi  nikiwa darasa la nne. Somo hili lilifundishwa na walimu wenye kiwango...

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali yakanusha taarifa za upotoshaji kuhusu matumizi ya Mashine za Kielektroniki( EFD’s)

SAM_1155

 

Kaimu Mkurugenzi Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Julius Mjanga akiwaeleza waandishi wa Habari(Hawapo Pichani) kuhusu Taaarifa za Upotoshaji kuwa matumizi ya mashine za kielektroniki(EFD’s) yamesitishwa ila mashine hizo zinaendelea kutumika kwa mujibu wa Sheria na wafanyabiashara wanapaswa kuendelea kuzitumia il kuisaidia serikali katika ukusanyaji wa Kodi. Kushoto ni Afisa Uhusiano Mkuu wa Mamlaka hiyo Bi Oliver Njunwa.

SAM_1160

Baadhi ya Waandishi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Matumizi ya neno ‘whose’

Katika somo lililopita tumeona jinsi ya kuuliza umiliki kwa kutumia WHOSE. Somo la leo litajikita katika kujibu maswali yanayohusu umiliki kwa kutumia maneno yanayoonyesha umiliki.

 

9 years ago

Mwananchi

Rekebiisha matumizi ya neno upinzani

Lugha ya Kiswahili ina utajiri mkubwa wa msamiati na istilahi  anuwai. Msamiati ni jumla ya maneno yote yaliyomo katika lugha fulani, sio kama vile baadhi ya walimu  wa shule za msingi wanavyowakaririsha wanafunzi wao kuwa “ msamiati” ni maneno magumu.

 

10 years ago

Mwananchi

Rekebisha matumizi ya neno Upinzani

Lugha ya Kiswahili ina utajiri mkubwa wa msamiati na istilahi  anuwai. Msamiati ni jumala ya maneno yote yaliyomo katika lugha fulani, sio kama vile baadhi ya walimu  wa shule za msingi wanavyowakaririsha wanafunzi wao kuwa “ msamiati” ni maneno magumu.

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Mb Dog — Herufi Kuu

Huu ni wimbo mpya kutoka kwa Mb Dog wimbo unaitwa “Herufi Kuu” Producer Makopa (B Mateliar)

 

10 years ago

Jamtz.Com

10 years ago

Vijimambo

JE UNAITAMBUA SIRI YA HERUFI YA MWANZO YA JINA LAKO BASI SOMA HAPA KUIJUA SASA


HERUFI AMwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira.
HERUFI BMwenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu, mkarimu, muaminifu, na hupenda kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika vita au pale anapotaka kulinda vilivyo katika himaya yake.
HERUFI CMwenye jina linaloanziana na herufi C ni mtu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani