Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rekebisha matumizi ya neno Upinzani

Lugha ya Kiswahili ina utajiri mkubwa wa msamiati na istilahi  anuwai. Msamiati ni jumala ya maneno yote yaliyomo katika lugha fulani, sio kama vile baadhi ya walimu  wa shule za msingi wanavyowakaririsha wanafunzi wao kuwa “ msamiati” ni maneno magumu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Rekebiisha matumizi ya neno upinzani

Lugha ya Kiswahili ina utajiri mkubwa wa msamiati na istilahi  anuwai. Msamiati ni jumla ya maneno yote yaliyomo katika lugha fulani, sio kama vile baadhi ya walimu  wa shule za msingi wanavyowakaririsha wanafunzi wao kuwa “ msamiati” ni maneno magumu.

 

11 years ago

Mwananchi

Matumizi ya neno ‘whose’

Katika somo lililopita tumeona jinsi ya kuuliza umiliki kwa kutumia WHOSE. Somo la leo litajikita katika kujibu maswali yanayohusu umiliki kwa kutumia maneno yanayoonyesha umiliki.

 

11 years ago

Mwananchi

Matumizi ya herufi ‘h’ na upotoshaji wa neno ‘kufariki’

Sehemu ya kwanza ya makala yangu nitaitumia kwa ajili ya kutoa maoni ya wasomaji wa gazeti la Mwananchi. Nimechagua wasomaji watatu walioniandikia na nikaona ni bora mawazo yao yaenee kwa wasomaji wengine kama changamoto zinazoikabili lugha ya Kiswahili.

 

11 years ago

Michuzi

MAISHA PLUS ‘REKEBISHA’ WASHIRIKI KAZI ZA JAMII

 Washiriki wa maisha Plus wakichimba shimo kwa ajili ya kujenga choo cha shule ya msingi Igula.
 Baadhi ya washiriki wa shindano la Maisha Plus 'Rekebisha' wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya kazi ya kuchumba matundu ya choo katika shule ya msingi Igula tarafa ya Ismani mkoani Iringa kulikokuwa na kijiji cha awali cha mashindano hayo.  Baadhi ya washiriki wa shindano la Maisha Plus 'Rekebisha' wakiwa wamepumzika baada ya kufanya kazi ya kuchimba matundu ya choo katika shule...

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA MHE. CECILIA PARESSO (MB), MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI WIZARA YA KAZI NA AJIRA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/16


Mhe. Cecilia Daniel Paresso (MB).
(Inatolewa kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Bunge kanuni ya 99(9) toleo la mwaka 2013).
1.0 UtanguliziMheshimiwa Spika,Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kunilinda na kunitunza ili niweze kutumikia Taifa langu. Napenda kuishukuru familia yangu kwa msaada mkubwa na uvumilivu hasa ninapokuwa katika shughuli zangu za kisiasa.
Mheshimiwa Spika, Napenda kutumia fursa hii, kuwashukuru watanzania wote kwa kupokea na kulea harakati za mabadiliko...

 

10 years ago

GPL

HOTUBA YA MHESHIMIWA CECILIA DANIEL PARESSO (MB), MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI WIZARA YA KAZI NA AJIRA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016

Mhe. Cecilia Daniel Paresso (MB). (Inatolewa kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Bunge kanuni ya 99(9) toleo la mwaka 2013). 1.0 Utangulizi
Mheshimiwa Spika,
Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kunilinda na kunitunza ili niweze kutumikia Taifa langu. Napenda kuishukuru familia yangu kwa msaada mkubwa na uvumilivu hasa ninapokuwa katika shughuli zangu za kisiasa. Mheshimiwa Spika,
Napenda kutumia fursa hii,...

 

10 years ago

Vijimambo

NENO LA LEO

Paka hana kosa, mchukie anaye mtumia, shetani huweza kuingia mwilini mwa bosi wako, jirani yako, ndugu yako mkakorofishana mkachukiana, usimchukie bali muombee sio yeye. Ukijigeuza ukawa paka kwangu ntafurahi ule panya milele na hautarudi tena kuwa mtu  Mungu anahitaji kumuomba tu. Sali kabla ya kulala,
JAY PILI NJEMA, KWARESMA NJEMA.

 

10 years ago

Raia Mwema

Abrakadabra ni neno la wajanja!

JAMII yetu iko kwenye hali ya mkanganyiko.

Maggid Mjengwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani