MAISHA PLUS ‘REKEBISHA’ WASHIRIKI KAZI ZA JAMII
Washiriki wa maisha Plus wakichimba shimo kwa ajili ya kujenga choo cha shule ya msingi Igula.
Baadhi ya washiriki wa shindano la Maisha Plus 'Rekebisha' wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya kazi ya kuchumba matundu ya choo katika shule ya msingi Igula tarafa ya Ismani mkoani Iringa kulikokuwa na kijiji cha awali cha mashindano hayo.
Baadhi ya washiriki wa shindano la Maisha Plus 'Rekebisha' wakiwa wamepumzika baada ya kufanya kazi ya kuchimba matundu ya choo katika shule...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Taaswirazzz za washiriki wa Maisha Plus walivyoingia kijijini jana




11 years ago
GPL
WASHIRIKI 29 WA SHINDANO LA MAISHA PLUS 2014 WAINGIA RASMI KIJIJINI
11 years ago
GPLZOEZI LA KUWACHAGUA WASHIRIKI WA MAISHA PLUS/ MAMA SHUJAA WA CHAKULA LAANZA RASMI
11 years ago
Michuzi
Maisha Plus Update: Washiriki kutoka Rwanda, Burundi, Kenya na Uganda wako Moro

WASHIRIKI wa shindano la Maisha Plus ambayo kwa mwaka 2014 inatambulika kwa jina la Maisha Plus Rekebisha, kutoka nchini Kenya, Rwanda,Uganda na Burundi tayari wameshawasili nchini na jana wameelekea wako mkoani Morogoro kushiriki shughuli za kijamii.
Mratibu wa onyesho hilo, Ally Masoud Kipanya amesema hili ni kundi la tatu kushiriki shughuli za kijamii, ambapo kundi la kwanza lilikuwa Iringa, kisha la pili likaenda Zanzibar na hili la tatu linaenda Morogoro kushiriki shughuli za...
10 years ago
Mwananchi06 Aug
Rekebisha matumizi ya neno Upinzani
11 years ago
MichuziHATIMAYE ZOEZI LA KUWACHAGUA WASHIRIKI WA MAISHA PLUS/ MAMA SHUJAA WA CHAKULA LAANZA RASMI. FOMU ZAIDI YA 4,000 ZAKUSANYWA
11 years ago
Michuzi04 Mar
11 years ago
Dewji Blog31 Oct
UNIC washiriki Alhamisi ya burudani na TEYODEN kwa madhumuni ya kutoa elimu ya kazi mbalimbali za Umoja wa Mataifa
Afisa habari wa Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi Stella Vuzo akitoa mada kuu iliyokuwa inahusu malengo ya maendeleo ya milenia na kuangalia yamefikia wapi kwenye malengo hayo pamoja na kuwaelimisha kuhusu maendeleo endelevu baada ya mwaka 2015(Post 2015 Sustainable Development) iliyotolewa kwa Mtandao wa vijana wa Temeke(TEYODEN).
Kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) jana Alhamisi kiliandaa burudani kwa ajili ya kujifunza kazi mbalimbali za Umoja wa Mataifa ambapo kila Alhamis ya...