Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Abrakadabra ni neno la wajanja!

JAMII yetu iko kwenye hali ya mkanganyiko.

Maggid Mjengwa

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Abrakadabra ya DECI tulivuna aibu pia..!

MAKALA yangu ya juma la jana juu ya ' Manabii wa siku za mwisho' imesukuma wasomaji wengi kuniand

Maggid Mjengwa

 

11 years ago

BBCSwahili

Walevi wajanja wa Nairobi, Kenya

Madereva walevi nchini Kenya wamebuni njia za kufika nyumbani huku wakikwepa kifaa cha 'Alcoblow' kinachotumiwa na polisi kuwanasa

 

9 years ago

GPL

WAJANJA WA NDALA, NZEGA WAMESTUKA!

Wasanii mbalimbali wakisalimia na mgombea mwenza wa nafasi ya urais kwa tiketi ya CCM, Bi. Samia Suluhu, eneo la Ndala, Nzega Vijijini, jana.Wasanii wakitangaza kampeni yao ya 'Nimestuka'.

 

10 years ago

Vijimambo

NEW YORK - JIJI LA WAJANJA LAVAMIWA NA WALEGEVU WA MAMBO

Jiji la New York jana jumapili lilikuwa baadhi ya mitaa haipitiki, baada ya kufungwa na kuwapa fursa walegevu wa mambo ( wasenge)  kusherehekea na kupongezana baada ya mahakama juu nchini marekani  kuhalalisha ndoa ya jinsia moja, (mwanamke kumuowa mwanamke mwengine, na mwanamme kumuowa mwanamme mwengine, kitu ambacho kimewatia hasira baadhai ya wana dini na kuandaa kupingana na uamuzi huoo wa mahakama ya juu





















 

10 years ago

Vijimambo

Wachaga Wamegawanyika Kama ifuatavyo, Sio Wote ni Wajanja!


Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote wajanja. Kuna:-1. Warombo wajanja sana kibiashara/wezi pia, wameajiri Wamarangu mjini ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini wakileta kiburi mjini. Wanawake zao ni mama Huruma, wanaachia tu.. Ukioa mrombo ujue umeolea kijiji.
2. Kuna Wamarangu wazuri sana wa sura na umbo wanawachuna Warombo. Wanawake wana dharau sana na wanaume ni waoga kuliko wanawake. Mwanaume wa Marangu kupigwa na mkewe si jambo la ajabu.
3. Kuna Wakibosho wanafanana na...

 

11 years ago

GPL

MASTAA, WAJANJA WA KWELI HAWALI ‘SEMBE!’

Rehema Chalamila ‘Ray C’. INGAWA Rehema Chalamila ‘Ray C’ na Radhid Makwilo ‘Chid Benz’ ndiyo wasanii pekee waliokiri hadharani kuwahi kutumia madawa ya kulevya na kwamba wako katika harakati za kuhakikisha wanaachana nayo, ukweli ulio dhahiri ni kwamba tunao wasanii wengi, hasa wa Bongo Fleva ambao ni wabwia unga!Wakati vuguvugu la muziki huu linaanza kupamba moto mwanzoni mwa miaka ya...

 

10 years ago

GPL

ETI MPENZI WAKO HAWEZI KUNASWA NA WAJANJA, KWA KIPI?

NIkweli mapenzi ni imani, yaani kuamini kwamba uliyenaye anakupenda hata kama ukweli unaweza usiwe hivyo. Wengi walio na wapenzi wanajiaminisha kwamba wanavyowapenda wenza wao ndivyo wananvyopendwa. Pia wapo ambao wanaamini kwamba eti kwa namna wanavyoonesha mapenzi yao, hata kwa dawa hawawezi kusalitiwa. Utamsikia mwanamke akisema; “bwana wangu mimi kwangu hapindui, ananipenda sana na hawezi kunisaliti’.
Mtu...

 

5 years ago

Michuzi

RC Ole Sendeka arejesha ardhi ya wazee iliyotaka kupokwa na wajanja

Na Amiri kilagalila,Njombe

Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka ametoa wiki mbili kwa watu wanne kurejesha ekari mbili za ardhi ya wazee wawili wanaokadiliwa kuwa na miaka zaidi ya 80 zilizouzwa kimakosa, ambayo walipewa zawadi na serikali ya mtaa wa Mji mwema kutokana na kuamsha ari ya taaluma.

Eneo hilo lenye ukubwa ekari 2 linadaiwa kuuzwa na mtu wa jirani wa wazee hao miaka minne iliyopita anaefahamika kwa jina George Angeli ,hatua ambayo imesababisha kuidai haki yao katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani