WAJANJA WA NDALA, NZEGA WAMESTUKA!
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/wamestuka-2.jpg?width=650)
Wasanii mbalimbali wakisalimia na mgombea mwenza wa nafasi ya urais kwa tiketi ya CCM, Bi. Samia Suluhu, eneo la Ndala, Nzega Vijijini, jana.Wasanii wakitangaza kampeni yao ya 'Nimestuka'.
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-q-tycRCDJkE/VDRxGaOBvEI/AAAAAAAGomc/aFwX7Ej_zYE/s72-c/download%2B(5).jpg)
Hotuba ya Dkt. Hamisi Kigwangalla, Mbunge wa Jimbo la Nzega na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya TAMISEMI Alipopokelewa Jimboni Nzega Baada ya Kutangaza Nia Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
![](http://2.bp.blogspot.com/-q-tycRCDJkE/VDRxGaOBvEI/AAAAAAAGomc/aFwX7Ej_zYE/s1600/download%2B(5).jpg)
Nitumie fursa hii kwa namna ya kipekee kuwashukuru nyote kwa kuacha shughuli zenu kuja kunipokea na kushiriki mkutano huu. Mmenipa heshima kubwa sana na mimi nawajibika tu kusema ‘ahsanteni sana’.
Mimi hapa ni aidha mtoto wenu, mjukuu wenu ama mdogo wenu, mnapoacha shughuli zenu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj3FIYwLDHFvAMn3Aj-wr0CGhANVfy*FPGOYba2POr9lk8nRebs5WljaT-M7krgRAdc7ZNy-*qF-o3quLRBZ9twe/jokate2.jpg?width=650)
JOKATE AELEZEA BIDHAA YAKE MPYA YA NDALA
10 years ago
Tanzania Daima17 Nov
Chuo cha ualimu Ndala chasaidiwa madawati
MFUKO wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), umetoa msaada wa madawati 100 yakiwa na tahamani ya sh milioni 8 kwa Chuo cha Ualimu Ndala wilayani Nzega Mkoa wa Tabora....
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-KimwYc4Y6Ks/VEdgwYV9wAI/AAAAAAAGsms/j50pKmXICv4/s72-c/331211_2354955712229_1200297381_32919676_2680912_o.jpg)
LEO IMETIMIA MIAKA 10 TOKA FREDDY "SUPREME" NDALA KASHEBA ATUTOKE
11 years ago
Bongo522 Jul
Nature aapa kutoweka wazi miradi yake, ni baada ya idea ya ndala kuchukuliwa
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
11 years ago
BBCSwahili17 Mar
Walevi wajanja wa Nairobi, Kenya
10 years ago
VijimamboNEW YORK - JIJI LA WAJANJA LAVAMIWA NA WALEGEVU WA MAMBO
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-5i8ihrYDgBk/VVBVqxUNJeI/AAAAAAAAtj0/MVfg1IQaXLo/s72-c/wachaga.jpg)
Wachaga Wamegawanyika Kama ifuatavyo, Sio Wote ni Wajanja!
![](http://4.bp.blogspot.com/-5i8ihrYDgBk/VVBVqxUNJeI/AAAAAAAAtj0/MVfg1IQaXLo/s640/wachaga.jpg)
Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote wajanja. Kuna:-1. Warombo wajanja sana kibiashara/wezi pia, wameajiri Wamarangu mjini ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini wakileta kiburi mjini. Wanawake zao ni mama Huruma, wanaachia tu.. Ukioa mrombo ujue umeolea kijiji.
2. Kuna Wamarangu wazuri sana wa sura na umbo wanawachuna Warombo. Wanawake wana dharau sana na wanaume ni waoga kuliko wanawake. Mwanaume wa Marangu kupigwa na mkewe si jambo la ajabu.
3. Kuna Wakibosho wanafanana na...