RC Ole Sendeka arejesha ardhi ya wazee iliyotaka kupokwa na wajanja
![](https://1.bp.blogspot.com/-11zLL_ArdEM/Xp6H7zfnK6I/AAAAAAALnqg/rnMmp2XGnSgOai0osujkkVLBJu2NFM8egCLcBGAsYHQ/s72-c/A.png)
Na Amiri kilagalila,Njombe
Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka ametoa wiki mbili kwa watu wanne kurejesha ekari mbili za ardhi ya wazee wawili wanaokadiliwa kuwa na miaka zaidi ya 80 zilizouzwa kimakosa, ambayo walipewa zawadi na serikali ya mtaa wa Mji mwema kutokana na kuamsha ari ya taaluma.
Eneo hilo lenye ukubwa ekari 2 linadaiwa kuuzwa na mtu wa jirani wa wazee hao miaka minne iliyopita anaefahamika kwa jina George Angeli ,hatua ambayo imesababisha kuidai haki yao katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
IPPmedia21 Jan
Simanjiro MP, Christopher ole Sendeka
IPPmedia
IPPmedia
Simanjiro MP Christopher ole Sendeka has urged donors who fund different developmental projects in the district to disclose their sources of funding, in an effort to refrain from the use of 'dirty money'. The MP issued the directive at the weekend during the ...
9 years ago
Raia Mwema20 Nov
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Ole Sendeka awashukia Muhongo, Maswi
10 years ago
Vijimambo31 Jul
OLE SENDEKA AKANUSHA KUHAMIA CHADEMA
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/index19.jpg)
Uvumi ulioenezwa na mitandao ya kijamii kuwa mh.Christopher Ole Sendeka anahamia chadema ameikanusha na kusema kuwa haina tija na niupotoshaji wa jamii na kuwa yeye atabakia kuwa muuumini wa chama cha Mapinduzi wala hajaona chama mbadala zaidi ya chama hicho.
Sendeka ameyasema hayo leo wakati akiongea na vyombo vya habari jijini hapa na kuwataka wanaoeneza kuacha mara moja kumuhusisha na kuhamia kwenye chama hicho kwani yeye ni muumini wa CCM.
Alisema kuwa hajaona chama...
11 years ago
Mwananchi06 Mar
SMZ yapinga kauli ya Ole Sendeka
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
Ole Sendeka akoleza moto fedha za Escrow
MBUNGE wa Simanjiro, Christopher ole Sendeka (CCM), amezidi kukoleza moto wa sakata la uchotwaji fedha za akaunti ya Tegeta Escrow, dola milioni 250 za Marekani, akisema serikali inapaswa kuweka ukweli...
11 years ago
TheCitizen10 Mar
Surprise as Ole Sendeka salutes bitter rival
11 years ago
Michuzi03 Jun
9 years ago
Mwananchi30 Aug
Ole Sendeka: Sumaye ameonyesha udhaifu kwenda Ukawa