NENO LA LEO
Paka hana kosa, mchukie anaye mtumia, shetani huweza kuingia mwilini mwa bosi wako, jirani yako, ndugu yako mkakorofishana mkachukiana, usimchukie bali muombee sio yeye. Ukijigeuza ukawa paka kwangu ntafurahi ule panya milele na hautarudi tena kuwa mtu Mungu anahitaji kumuomba tu. Sali kabla ya kulala,
JAY PILI NJEMA, KWARESMA NJEMA.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo02 Feb
10 years ago
Vijimambo27 Jul
NENO LA LEO HILO (KURA NI SIRI)
![](https://scontent-lga1-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xfp1/v/t1.0-9/p480x480/11751789_688925911238077_4898477108352436468_n.jpg?oh=1f82a5ebc993a506cd44c14d19d773b8&oe=56548A85)
Politics is game of darkness.....unaemdhania wako kumbe sio wako,na unaemdhani si wako anaweza akawa ni wako..jihadhari kumchukia jamaa au ndugu yako eti kisa yuko chama tofauti..KURA NI SIRI
SOURCE: SALIM AKIDA
10 years ago
Vijimambo11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8QOPGYNO0thZuoVy-KyDTbKBOdW0Fb2pkLojB*Cy7NQbMS-OPWxDIlAbrdPAyWNAJeCnKoMTuysRn3gtNbpV0ruY-G1i9lq*/katiba.jpg?width=650)
NENO LA LEO: MKWAMO WA KATIBA NA MSAFARA WA TEMBO..
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Z1i4jh9pzG0/UvK1hxnX_iI/AAAAAAAAL5I/VAxTnctgDnE/s72-c/1554391_1429422633962048_1933863747_n.jpg)
10 years ago
Bongo Movies06 Aug
Hili Ndilo Neno la Leo Kutoka Kwa JB
Kazi yoyote unayoifanya kama utaipenda na kuweka moyo wako hapo..kisha ukaweka bidii na kujituma una asilimia kubwa ya kufanikiwa...maisha ya misheni town kwa miaka hii inayo kuja yanaweza kukuweka pabaya...Mungu akubariki...hili ndilo neno la leo toka kwa mtumishi wa bwana...jb....
Jacob Stephen ‘JB’on instagram
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/B4kAzd0jsyA/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog14 Dec
Neno la leo: kwenda kupiga kura ni kwenda kuchagua
Blogger Maggid Mjengwa.
Ndugu zangu,
Leo ni siku ya kupiga kura kwenye Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Huu ni Uchaguzi Muhimu sana katika nchi. Uchaguzi huu ndio MSINGI wa siasa kubwa za Kitaifa.
Siasa ya nchi inaanzia kwenye Mtaa, Kijiji na Kitongoji. Na hakika, siku ya leo ilipaswa uwe ni uchaguzi pia kwa ngazi ya Manispaa na Halmshauri, kwa maana ya kuwachagua Madiwani.
Inahusu Serikali za Mitaa ( Local Goverment). Nimepata kuandika, kuwa Mahtama Ghandhi alipata kusema, kuwa...
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Matumizi ya neno ‘whose’