Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NENO LA LEO HILO


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NENO LA LEO HILO (KURA NI SIRI)


Politics is game of darkness.....unaemdhania wako kumbe sio wako,na unaemdhani si wako anaweza akawa ni wako..jihadhari kumchukia jamaa au ndugu yako eti kisa yuko chama tofauti..KURA NI SIRI

SOURCE: SALIM AKIDA

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

NENO LA LEO

Paka hana kosa, mchukie anaye mtumia, shetani huweza kuingia mwilini mwa bosi wako, jirani yako, ndugu yako mkakorofishana mkachukiana, usimchukie bali muombee sio yeye. Ukijigeuza ukawa paka kwangu ntafurahi ule panya milele na hautarudi tena kuwa mtu  Mungu anahitaji kumuomba tu. Sali kabla ya kulala,
JAY PILI NJEMA, KWARESMA NJEMA.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Bodi ya NIC akutana na menejimenti ya shirika hilo leo

Kaimu Mkurugeniz wa Shirika la Bima la Taifa (NIC),Sam Kamanga akuzungumza katika Mkutano na Menejimenti ya Shirika hilo uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa JB Belmont,Golden Jubilee,jijini Dar es salaam.Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo,Dkt. Edmund Mndolwa.Sehemu ya Menejimenti ya Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakifatilia kwa makini Mkutano huo.Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Shirika la Bima la Taifa (NIC),Dkt. Edmund Mndolwa (wa nne kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja...

 

11 years ago

GPL

NENO LA LEO: MKWAMO WA KATIBA NA MSAFARA WA TEMBO..

Ndugu zangu, Msafara wa tembo huwa na kawaida ya kutokurudi nyuma,ndio maana porini huzioni nyayo za tembo zenye kwenda mbele na kurudi nyuma. Ni ukweli, kuwa tembo ndiye mnyama mkubwa porini, na ni mfalme wa pori. Lakini tembo hufika mahali akasumbuliwa na siafu kiasi cha kuweweseka na hata kutamani kulihama pori. Ni kwa kosa la tembo kukanyaga kichuguu cha siafu. Naam, siafu mia tano ni wengi kuliko tembo mmoja, pamoja na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hili Ndilo Neno la Leo Kutoka Kwa JB

Kazi yoyote unayoifanya kama utaipenda na kuweka moyo wako hapo..kisha ukaweka bidii na kujituma una asilimia kubwa ya kufanikiwa...maisha ya misheni town kwa miaka hii inayo kuja yanaweza kukuweka pabaya...Mungu akubariki...hili ndilo neno la leo toka kwa mtumishi wa bwana...jb....

Jacob Stephen ‘JB’on instagram

 

10 years ago

Dewji Blog

Neno la leo: kwenda kupiga kura ni kwenda kuchagua

0,,16820284_303,00

Blogger Maggid Mjengwa.

Ndugu zangu,

Leo ni siku ya kupiga kura kwenye Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Huu ni Uchaguzi Muhimu sana katika nchi. Uchaguzi huu ndio MSINGI wa siasa kubwa za Kitaifa.

Siasa ya nchi inaanzia kwenye Mtaa, Kijiji na Kitongoji. Na hakika, siku ya leo ilipaswa uwe ni uchaguzi pia kwa ngazi ya Manispaa na Halmshauri, kwa maana ya kuwachagua Madiwani.

Inahusu Serikali za Mitaa ( Local Goverment). Nimepata kuandika, kuwa Mahtama Ghandhi alipata kusema, kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani