Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawaziri Membe na Mwandosya wamzungumzia Karume

>Makada wa Chama cha Mapimduzi(CCM) wanaotajwa kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu ujao,  wamesema yapo mambo mengi ya kujifunza kutoka kwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, marehemu Sheikh Abeid Amani Karume aliyoyafanya katika miaka minane ya uongozi wake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Membe: Nitamuunga mkono Mwandosya

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernad Membe.MAWAZIRI wawili wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete, Bernard Membe na Profesa Mark Mwandosya ambao wote wanaomba kugombea urais kupitia CCM kuungana katika harakati zao za kuwania kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho katika nafasi ya Rais katika Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu.

 

10 years ago

Mtanzania

Membe: Nikikatwa jina CCM nitakuwa wa Mwandosya

????????NA WAANDISHI WETU
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema endapo Kamati Kuu ya CCM haitalipitisha jina lake kuwania urais mwaka huu, kura yake ataipeleka kwa kada wa chama hicho, Profesa Mark Mwandosya.
Amesema atafikia uamuzi huo kwa kile alichodai kuwa yeye na Profesa Mwandosya ndio wanakidhi vigezo 13 vilivyowekwa na CCM kumpata mgombea urais.
Kauli hiyo aliitoa jana mjini Mbeya, alipokuwa akitafuta wadhamini, ambapo alisema Profesa Mwandosya amebahatika...

 

10 years ago

Mwananchi

Membe: Nikikatwa nitampigia kampeni Profesa Mwandosya

>Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema kama CCM haitampitisha kuingia tano bora, atampigia kampeni kwa moyo wa dhati Profesa Mark Mwandosya iwapo ataingia fainali ya kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea urais.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI BERNARD MEMBE ATEMBELEA KABURI LA HAYATI ABEID AMAN KARUME MJINI ZANZIBAR

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (wa pili kushoto) akifafanua jambo wakati alipotembelea chumba ambacho muasisi wa Mapinduzi na Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Abeid Aman Karume aliuawa kwa risasi wakati akicheza bao, katika Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini Unguja Juni 13.2015 jioni, ambapo Waziri Membe yupo Zanzibar kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika...

 

10 years ago

Vijimambo

Mwinyi, Mkapa kuwajadili wakina Membe, Lowassa.Waitwa pia Malecela, Karume, Dk. Salmin, Msekwa athibitisha kuandaa kikao.

Pius Msekwa.
Wakati joto la kusaka nafasi ya kuteuliwa kuwania urais kwa tikiti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) likiwa linazidi kupanda, Baraza la Ushauri wa Wazee linajipanga kukutana baada ya kikao kilichokuwa kifanyike leo kuahirishwa.

Katibu wa Baraza hilo, Pius Msekwa, aliiambia NIPASHE jana kuwa kikao cha leo kimeahirishwa kutokana na baadhi ya viongozi wakuu wa chama kuwa safarini, kwani walikuwa wamewaalika kwenye mkutano wao uliokuwa ufanyike jijini Dar es Salaam.

Kikao hicho ni...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE AONGOZA MKUTANO WA MAWAZIRI WA JUMUIYA YA MADOLA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akiongoza Mkutano wa 45 wa Kikundi Kazi cha Mawaziri wa Jumuiya ya Madola, (Commonwealth Ministerial Action Group-CMAG) unaofanyika Mjini London, Uingereza tarehe 11 na 12 Machi, 2015. Waziri Membe ni Mwenyekiti wa Kikundi Kazi hicho ambaye aliteuliwa wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola uliofanyika nchini Sri Lanka mwaka 2013. Kushoto kwa Waziri Membe ni Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo, Bw....

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE AFUNGUA RASMI MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akifungua rasmi Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Mei, 2015. Mkutano huo ambao ni maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa EAC utakaofanyika tarehe 31 Mei, 2015, pamoja na mambo mengine utapokea na kujadili taarifa zitakazowasilishwa na Jopo la Watu Maalum wanaofuatilia...

 

10 years ago

Michuzi

Membe aongoza Mawaziri wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye mazungumzo nchini Burundi

Mhe. Pierre Nkurunziza, Rais wa Jamhuri ya Burundi akiwa kwenye mazungumzo na Ujumbe ulioongozwa na  Mhe. Bernard K. Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania. Mawaziri wengine katika picha ni Mhe. Louise Mushikiwabo (kulia kwa Waziri Membe), Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda na Mhe. Amina Mohamed (mwenye skafu nyekundu), Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania Mhe. Bernard K. Membe jana aliongoza Jopo la...

 

10 years ago

Michuzi

Membe aongoza mkutano wa Kikosi Kazi cha Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola jijini London

Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akiendesha kikao cha 43 cha chombo hicho cha utendaji cha Jumuiya ya Madola Jijini London Uingereza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani