Membe: Nikikatwa jina CCM nitakuwa wa Mwandosya
NA WAANDISHI WETU
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema endapo Kamati Kuu ya CCM haitalipitisha jina lake kuwania urais mwaka huu, kura yake ataipeleka kwa kada wa chama hicho, Profesa Mark Mwandosya.
Amesema atafikia uamuzi huo kwa kile alichodai kuwa yeye na Profesa Mwandosya ndio wanakidhi vigezo 13 vilivyowekwa na CCM kumpata mgombea urais.
Kauli hiyo aliitoa jana mjini Mbeya, alipokuwa akitafuta wadhamini, ambapo alisema Profesa Mwandosya amebahatika...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Jun
Membe: Nikikatwa nitampigia kampeni Profesa Mwandosya
10 years ago
Habarileo11 Jun
Membe: Nitamuunga mkono Mwandosya
MAWAZIRI wawili wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete, Bernard Membe na Profesa Mark Mwandosya ambao wote wanaomba kugombea urais kupitia CCM kuungana katika harakati zao za kuwania kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho katika nafasi ya Rais katika Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu.
10 years ago
Mwananchi08 Apr
Mawaziri Membe na Mwandosya wamzungumzia Karume
10 years ago
Dewji Blog05 Jul
Kamati maalum ya CCM Zanzibar yapitisha jina la Dkt. Shein kugombea urais kwa tiketi ya CCM Uchaguzi mkuu wa oktoba 2015
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, wakati walipowasili kwenye Ukumbi wa Ofisi za CCM Kisiwandui mjini Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria katika kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, ambacho leo kilipitisha jina la Dkt. Shein kuwania nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM. (Picha na OMR).
10 years ago
Vijimambo30 Jul
Mwandosya aibua mazito urais CCM.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mwandosya-30july2015.jpg)
Prof. Mwandosya ambaye ni Mbunge wa Rungwe Mashariki amenukuliwa akisema hayo kwenye sauti yenye maelezo yake iliyorekodiwa na...
10 years ago
Mwananchi10 Jun
Profesa Mwandosya akosoa mfumo wa uchaguzi CCM
10 years ago
VijimamboKIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM ZANZIBAR. YAPITISHA JINA LA DK SHEIN KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CCM.
10 years ago
Raia Mwema22 Jul
Jina “Lowassa” na hatima ya CCM
KWA sasa hakuna asiyejua nani aliyeibuka mshindi wa mchuano wa ndani ya CCM wa kumtafuta mshika b
Ahmed Rajab
10 years ago
Mwananchi05 May
UCHAGUZI CCM 2015: Profesa Mark Mwandosya: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais