Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAWAZIRI WAAGIZWA KUREJESHA IKULU MAGARI YA SERIKALI LEO

Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue. Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue, amewaagiza  Mawaziri na Naibu Mawaziri leo kurudisha magari ya serikali baada ya Rais Mteule, Dk. John Magufuli kuapishwa kwa kuwa ndiyo siku yao ya ukomo wa uongozi. Akizungumza na Nipashe jana kwa njia ya simu, Balozi Sefue alisema baada ya Bendera ya Rais kuteremshwa na kabla Bendera ya Rais mpya kupandishwa, magari ya mawaziri na Naibu Mawaziri,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mawaziri wa JK watakiwa kurudisha magari Ikulu

Mawaziri wa Serikali ya Awamu ya Nne wametakiwa kurejesha Ikulu magari wanayotumia mara baada ya kuapishwa Rais Mteule John Magufuli kwenye Uwanja wa Uhuru leo.

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI WAPYA IKULU ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dk.Sira Ubwa Mamboya kuwa Waziri wa Kilimo na Maliasili katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla Dk.Sira alikuwa Naibu Waziri wa Afya.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Juma Duni Haji kuwa Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Afya.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIWETE AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI LEO IKULU

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiongoza Kikao cha kawaida cha Baraza la Mawaziri leo Jumapili Machi 15, 2015 Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue
PICHA NA IKULU

 

5 years ago

Michuzi

SIKU ZA WEZI WA MAGARI ZAHESABIKA, WAAGIZWA KUJISALIMISHA

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, Giles Muroto akionesha kwa wandishi wa habari bastola aina ya browning no.016975 ambayo wameikamata kwa kijana ambaye alikua akiimiliki kimakosa na kuitumia kufanyia uhalifu.Charles James, Michuzi TVASKARI wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) amesaidia kumkamata kijana mmoja jijini Dodoma akiwa na silaha Bastola aina ya browning yenye no.016975 akimiliki kinyume na sheria huku akiitumia kufanyia uhalifu.
Akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake Kamanda...

 

11 years ago

Habarileo

Hakuna benki, msipeleke magari, TPA waagizwa

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ameagiza Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), kusitisha kupeleka magari katika Bandari Kavu ya Hesu Investment Limited, jijini Dar es Salaam, kuanzia Jumatatu kama hakutakuwa na huduma za kibeki ndani ya eneo hilo au eneo la karibu.

 

10 years ago

GPL

RAIS KIWETE AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI LEO IKULU‏

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiongoza Kikao cha kawaida cha Baraza la Mawaziri leo Jumapili Machi 15, 2015 Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue PICHA NA IKULU

 

11 years ago

BBCSwahili

Agizo la kurejesha magari ya Toyota

Kampuni ya kutengeza magari ya Toyota nchini Japan, imeagiza kurejeshwa kwa magari milioni 1.9 aina ya Prius kutokana na hitilafu.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais Dk. John Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu  Jijini Dar es Salaam, leo Machi 09, 2020

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani