Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawaziri wa JK watakiwa kurudisha magari Ikulu

Mawaziri wa Serikali ya Awamu ya Nne wametakiwa kurejesha Ikulu magari wanayotumia mara baada ya kuapishwa Rais Mteule John Magufuli kwenye Uwanja wa Uhuru leo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MAWAZIRI WAAGIZWA KUREJESHA IKULU MAGARI YA SERIKALI LEO

Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue. Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue, amewaagiza  Mawaziri na Naibu Mawaziri leo kurudisha magari ya serikali baada ya Rais Mteule, Dk. John Magufuli kuapishwa kwa kuwa ndiyo siku yao ya ukomo wa uongozi. Akizungumza na Nipashe jana kwa njia ya simu, Balozi Sefue alisema baada ya Bendera ya Rais kuteremshwa na kabla Bendera ya Rais mpya kupandishwa, magari ya mawaziri na Naibu Mawaziri,...

 

9 years ago

StarTV

Wananchi Kyela watakiwa kurudisha maelewano

Wakazi wa Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya wametakiwa kuachana na uhasama wa kisiasa uliokuwepo wakati wa uchaguzi ili kuelekeza nguvu zao katika shughuli za maendeleo.

Wametakiwa kutambua kuwa uchaguzi ni suala la mpito lakini maendeleo, umoja na mshikamano wao ni mambo yanayoendelea kuwepo hivyo hawapaswi kuendeleza chuki za kisiasa zilizosababishwa na mchakato huo.

 Wito huo wa kumaliza tofauti na sintofahamu za kimaelewano zilizokuwepo miongoni mwa wananchi wa Wilaya ya Kyela mkoani kutokana...

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda: Si Ikulu iliyowasafisha mawaziri

Dodoma. Waziri Mkuu Mizengo Pinda amewajibu wabunge waliokosoa kitendo cha mawaziri watano waliotajwa kwenye kashfa za Operesheni Tokomeza na akaunti ya escrow, akisema Ikulu haikuhusika kuwasafisha bali ilitangaza matokeo ya uchunguzi wa tume.

 

11 years ago

Mwananchi

Ikulu yavunja ukimya kuhusu 'mawaziri mizigo'

>Ikulu imetaka kufungwa kwa mjadala wa kuhusu kurudishwa kwa mawaziri wanaodaiwa kuwa ni mizigo kwenye Baraza la Mawaziri na badala imetaka waachwe wafanye kazi.

 

9 years ago

Global Publishers

Breaking News: Mawaziri waliobaki waapishwa Ikulu, Dar!

BREAKINGNEWS3Magufuli3 (1)Rais Dkt. John Pombe Magufuli

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Dkt. John Pombe Magufuli leo amewaapisha mawaziri na naibu waziri, Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais Magufuli aliwateua mawaziri na naibu waziri hao Desemba 23 ili kukamilisha idadi kwenye Baraza la Mawaziri.

Walioapishwa leo ni

Prof. Jumanne Maghembe -Waziri wa Maliasili na Utalii. Dkt. Philip Mpango – Waziri wa Fedha na Mipango (Ni baada ya kumteua kuwa Mbunge). Eng. Gerson Lwenge – Waziri wa Maji na Umwagiliaji. Dkt. Joyce...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AAPISHA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI IKULU DAR

Rais Jakaya Kikwete. Rais Jakaya Kikwete ameanza kuapisha Baraza Jipya la Mawaziri lililotangazwa jana katika viwanja vya Ikulu jijini Dar!

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI WAPYA IKULU ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dk.Sira Ubwa Mamboya kuwa Waziri wa Kilimo na Maliasili katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla Dk.Sira alikuwa Naibu Waziri wa Afya.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Juma Duni Haji kuwa Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Afya.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA YA RAIS KIKWETE KUWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI IKULU JANA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (Mb)  Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Ikulu jijini Dar es salaam siku ya jana. Kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue .
 Mhe. Mathias Meinrad CHIKAWE (Mb)  Waziri wa Mambo ya Ndani akila kiapo .…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani