Wananchi Kyela watakiwa kurudisha maelewano
Wakazi wa Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya wametakiwa kuachana na uhasama wa kisiasa uliokuwepo wakati wa uchaguzi ili kuelekeza nguvu zao katika shughuli za maendeleo.
Wametakiwa kutambua kuwa uchaguzi ni suala la mpito lakini maendeleo, umoja na mshikamano wao ni mambo yanayoendelea kuwepo hivyo hawapaswi kuendeleza chuki za kisiasa zilizosababishwa na mchakato huo.
Wito huo wa kumaliza tofauti na sintofahamu za kimaelewano zilizokuwepo miongoni mwa wananchi wa Wilaya ya Kyela mkoani kutokana...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo05 Jan
9 years ago
Mwananchi05 Nov
Mawaziri wa JK watakiwa kurudisha magari Ikulu
10 years ago
StarTV04 May
Wananchi Kyela wakumbwa na hofu ya mafuriko.
Na Mkombe Zanda,
Mbeya.
Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya imeanza kukumbwa na mafuriko yanayohatarisha usalama wa wananchi na mali zao kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kwenye maeneo mbalimbali ya mkoa huo.
Kutokana na hali hiyo Serikali wilayani Kyela imewatahadharisha wananchi kuchukua tahadhari za kujiepusha na mafuriko hayo ikiwemo kuhama kutoka kwenye maeneo yaliyo kando ya mito na maziwa.
Aprili 12 mwaka jana watu Saba walifariki dunia wilayani Kyela mkoani Mbeya wakati kaya...
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Kampeni ya kurudisha UDA mikononi mwa wananchi — 2
NINA uhakika mtu anaweza kujaribu kukusanya takwimu sahihi zaidi na kwa njia ya kisayansi zaidi kuweza kuona ni kwa kiasi gani niko mbali na ukweli. Sasa ni wazi mfano huo...
11 years ago
Dewji Blog08 Apr
Wananchi waomba serikali kurudisha oparesheni tokomeza ujangili
Mkuu wa wilaya ya Manyoni, Fatuma Toufiq (wa kwanza kushoto) na anayefuata ni Dc wa wilaya ya Iramba,Yahaya Nawanda na mkuu wa wilaya mpya ya Ikungi, Manju Masambya (wa tatu kushoto).Picha zote na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Manyoni
SERIKALI wilaya ya Manyoni mkoani Singida imeiomba serikali kuu kuangalia uwezekano wa kurejesha mapema zoezi la oparesheni ‘tokomeza ujangili’, ili kudhibiti kasi kubwa iliyopo ya majangili kuua wanyama pori hasa tembo.
Ombi hilo limetolewa hivi...
10 years ago
MichuziMBUNGE WA MOROGORO MJINI ATOA WIKI MBILI KWA MTENDAJI WA KATA KURUDISHA FEDHA ZA WANANCHI
11 years ago
Mwananchi11 Feb
Wananchi watakiwa kufuatilia
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Wajumbe watakiwa kutopotosha wananchi
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wametakiwa kutowapotosha Watanzania kuhusiana na muundo wa serikali tatu na badala yake wawaambie ukweli. Kauli hiyo ilitolewa bungeni juzi na mjumbe wa Bunge hilo,...
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Wananchi watakiwa kuwa makini na ‘vishoka’