Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi watakiwa kufuatilia

Kukosekana kwa elimu ya ufuatiliaji fedha za umma kwa wananchi wengi, kumesababisha ongezeko la utekelezaji miradi ya maendeleo hususan maeneo ya vijijini kufanywa chini ya kiwango.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Madiwani watakiwa kufuatilia matukio ya kitaifa

MKUU wa Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Wilman Ndile amewataka madiwani wapya na wa zamani katika halmashauri hiyo, kufuatilia kwa karibu matukio ya kitaifa kupitia vyombo vya habari ili waweze kuendana na wakati.

 

9 years ago

Michuzi

Wafanyakazi watakiwa kufuatilia makato yao



Mkurugenzi wa Utafiti, Tathmini na Sera wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ansgar Mushi.
Na Mwandishi wetu, DodomaWANACHAMA wa mifuko ya Hifadhi ya Jamii wametakiwa kufuatilia makato yao kwa kuwa baadhi ya waajiri wanachelewa kupeleka makato yao. Mbali na hilo, waajiri wa mmetakiwa kutowalazimisha wafanyakazi wao kujiunga na mfuko wasioupenda badala yake wapewe nafasi ya kujieleza. Kauli hiyo, ilitolewa jana na Ofisa Tehama wa Mamlaka ya Usimamizi na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wenyeviti wa vijiji watakiwa kufuatilia shughuli zinazofanywa na waganga wa tiba mbadala kwenye maeneo yao

SAM_0016

Katibu Mkuu wa CHAWAMAMU Mkoa wa Singida, Dk.Tano Mika Likapakapa (wa kwanza kutoka kulia) akiwasilisha mada mbalimbali kwenye semina elekezi kwa waganga wa tiba mbadala, wenyeviti wa vijiji, vitongoji na watendaji wa vijiji wa kata ya Kikhonda,tarafa ya Kinyangiri,wilayani Mkalama.

SAM_0024

Baadhi ya waganga wa tiba mbadala na viongozi wa serikali za vijiji wa Kata ya Kikhonda wakimsikiliza mtoa mada katika semina elekezi iliyofanyika katika ofisi za mtendaji wa kata ya Kikhonda.

SAM_0029

Polisi kata ya...

 

10 years ago

StarTV

Wananchi wahimizwa kufuatilia taarifa za hali ya hewa

Na Jackson Monela,

Morogoro.

 

Wakati mvua za masika zikiendelea kunyesha katika baadhi ya maeneo nchini, Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imewataka wananchi kufuatilia kwa makini taarifa za hali ya hewa zinazotolewa na mamlaka hiyo ili kujihadhari na mvua kubwa zinazoweza kuleta maafa ya mafuriko katika msimu huu.

 

Mkurungezi wa Mamlaka ya hali ya hewa nchini Dokta Agnes Kijazi amesema mara nyingi kumekuwa na upuuzwaji wa taarifa hizo na mara baada ya majanga kutokea lamawa zimekuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wajumbe watakiwa kutopotosha wananchi

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wametakiwa kutowapotosha Watanzania kuhusiana na muundo wa serikali tatu na badala yake wawaambie ukweli. Kauli hiyo ilitolewa bungeni  juzi na mjumbe wa Bunge hilo,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi watakiwa kutumia nishati mbadala

MTAFITI wa Taasisi ya Uchumi na Jamii (ESRF), Solomon Balegu ametaka Watanzania kutumia nishati mbadala ili kuepuka mabadiliko ya tabianchi. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Balegu alisema kuwa ikiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi watakiwa kujitokeza kuchangia damu

WANANCHI wa Mkoa wa Morogoro wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuchangia damu kwa hiari katika maadhimisho ya Wiki ya Damu, ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa taifa wa damu salama. Wito...

 

5 years ago

Michuzi

wananchi watakiwa kuelimishana kuhusu corona.


Na Woinde Shizza,ARUSHA
Chama Cha wafanyabiashara ( TCCIA)Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na Trade Mark East Africa na TRIAS kimegawa vifaa kinga vyenye thamani ya sh,mil. 4 kwenye masoko matatu katika jiji la Arusha kama njia Moja wapo ya kupambana na maambikizo ya ugonjwa hatari wa Corona na kuunga mkono jitihada za serikali dhidi ya ugonjwa huo.
Akikabidhi vifaa hivyo zikiwemo ndoo za maji ya kutiririka,vitakasa mikono na Barakao ,mwenyekiti wa TCCIA ,Wolter Maeda aliwataka...

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi watakiwa kuwa makini na ‘vishoka’

Wananchi wametakiwa kukataa kuwalipa mafundi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) wakiwa nyumbani, badala yake wawaambie malipo yafanyike katika ofisi za shirika hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani