Wananchi Kyela wakumbwa na hofu ya mafuriko.
Na Mkombe Zanda,
Mbeya.
Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya imeanza kukumbwa na mafuriko yanayohatarisha usalama wa wananchi na mali zao kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kwenye maeneo mbalimbali ya mkoa huo.
Kutokana na hali hiyo Serikali wilayani Kyela imewatahadharisha wananchi kuchukua tahadhari za kujiepusha na mafuriko hayo ikiwemo kuhama kutoka kwenye maeneo yaliyo kando ya mito na maziwa.
Aprili 12 mwaka jana watu Saba walifariki dunia wilayani Kyela mkoani Mbeya wakati kaya...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Watu 1,500 wakumbwa na mafuriko Morogoro
11 years ago
Mwananchi24 Apr
Mafuriko yaua Kyela
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Waliokufa mafuriko Kyela wafikia saba
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Dk. Mwanjelwa alivyosaidia waathirika wa mafuriko Kyela
MBALI na Mbunge wa Jimbo la Kyela mkoani Mbeya, Dk, Harrison Mwakyembe, kutoa misaada kwa waathirika wa mafuriko jimboni humo, Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Dk. Mary Mwanjelwa, amejitokeza na...
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-1oH0fipr5HI/U1dfc156JWI/AAAAAAAAi-M/556a3zvOXJU/s1600/IMG-20140423-WA0015.jpg)
MAFURIKO YALETA MAAFA KYELA, WAZIRI MWAKYEMBE ATUA HUKO
11 years ago
GPLMKUU WA WILAYA KYELA: WAATHIRIKA WA MAFURIKO MBEYA BADO WANAHITAJI MSAADA
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-W5YYGmodFMc/U4DnAc8YLUI/AAAAAAACiBs/AP8dRzJqzxM/s72-c/Dr,+Mwanjelwa+magoti+(1).jpg)
MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA MBEYA DKT.MARRY MWANJELWA ATEMBELEA NA KUTOA POLE KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO WILAYANI KYELA
![](http://4.bp.blogspot.com/-W5YYGmodFMc/U4DnAc8YLUI/AAAAAAACiBs/AP8dRzJqzxM/s1600/Dr,+Mwanjelwa+magoti+(1).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-DdQ_-7NWH9A/U4Dm__AuMwI/AAAAAAACiBo/MkWxvfd7gb0/s1600/Dr.+Mwanjelwa+kabidhi.jpg)
9 years ago
StarTV02 Nov
Wananchi Kyela watakiwa kurudisha maelewano
Wakazi wa Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya wametakiwa kuachana na uhasama wa kisiasa uliokuwepo wakati wa uchaguzi ili kuelekeza nguvu zao katika shughuli za maendeleo.
Wametakiwa kutambua kuwa uchaguzi ni suala la mpito lakini maendeleo, umoja na mshikamano wao ni mambo yanayoendelea kuwepo hivyo hawapaswi kuendeleza chuki za kisiasa zilizosababishwa na mchakato huo.
Wito huo wa kumaliza tofauti na sintofahamu za kimaelewano zilizokuwepo miongoni mwa wananchi wa Wilaya ya Kyela mkoani kutokana...
9 years ago
BBCSwahili09 Sep
Mafuriko yazua Hofu ya njaa Sierra Leone