Watu 1,500 wakumbwa na mafuriko Morogoro
Zaidi ya wakazi 1,500 wa kaya 250 katika Kitongoji cha Mbwamaji wilayani hapa Mkoa wa Morogoro, wamekumbwa na mafuriko baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha hasara ya vitu mbalimbali, ikiwamo nyumba kubomoka na uharibifu wa mali.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV04 May
Wananchi Kyela wakumbwa na hofu ya mafuriko.
Na Mkombe Zanda,
Mbeya.
Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya imeanza kukumbwa na mafuriko yanayohatarisha usalama wa wananchi na mali zao kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kwenye maeneo mbalimbali ya mkoa huo.
Kutokana na hali hiyo Serikali wilayani Kyela imewatahadharisha wananchi kuchukua tahadhari za kujiepusha na mafuriko hayo ikiwemo kuhama kutoka kwenye maeneo yaliyo kando ya mito na maziwa.
Aprili 12 mwaka jana watu Saba walifariki dunia wilayani Kyela mkoani Mbeya wakati kaya...
10 years ago
Vijimambo01 Jan
MOROGORO WASHEREKEA MKESHA WA MWAKA MPYA KWENYE MAFURIKO
![](http://www.itv.co.tz/media/image/mvua31.jpg)
11 years ago
MichuziUbalozi wa China watoa msaada kwa waathirika wa mafuriko mkaoni Morogoro
11 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YATOA MILIONI 100 KUSAIDIA WALIOATHIRIKA NA MAFURIKO MKOANI MOROGORO
11 years ago
GPL05 Feb