Mawaziri watuma salamu kwa watendaji
MAWAZIRI na Naibu mawaziri walioteuliwa wiki hii, wameapishwa jana na kuanza kazi kwa kutoa matamko kwa watendaji, kuendana na kasi na Rais John Magufuli. Moja ya matamko hayo, limetumwa kwa wakuu wa mikoa na wilaya, ambao wamepewa miezi sita kuhakikisha hakuna mwanafunzi atakayekaa chini shuleni.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-q87iFpnjFfQ/Xqw5C65PBcI/AAAAAAAC4Uc/9ctx4XFzf7cZzdxxruzU3Ljxo_86iIPHwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
10 years ago
Uhuru Newspaper23 Dec
Hizi ni salamu kwa watendaji wazembe
NA KHADIJA MUSSARAIS Jakaya Kikwete, amesema watendaji watakaozembea katika kutelekeza majukumu yao watashughulikiwa kikamilifu. Amesema watendaji wanapaswa kufahamu kuwa serikali ipo na hukasirishwa pindi mambo yanapokwenda kinyume na matarajio. Pia amesema ameridhishwa na hatua zilizochukuliwa na Waziri wa Tawala na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia, wa kutengua nafasi za wakurugenzi sita, kusimamia wengine na kutoa onyo kali. Akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam, jana, Rais Kikwete...
11 years ago
Mwananchi22 Dec
Spika Makinda awashauri mawaziri kuwabana watendaji
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6aOMGtxdGe535xDlE6--yncyg8nCJOyc9YkQRi-uDcexljqFp63LleTo0HF7gB62CFN1Y6fopfPKOmxGE1PPRBDMt7VGsotc/2.jpg)
SHIA WATUMA SALAM ZA KRISMASI, MWAKA MPYA KWA WAKRISTO
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-huOb9ZE0JCo/Xl1kq-7baXI/AAAAAAALgeE/0vV7kKWzcBAkHJ2p4Cbi_qgzfM73CvFZgCLcBGAsYHQ/s72-c/MEMBE.jpg)
WANAHARAKATI WAZALENDO WATUMA UJUMBE KWA WAPINZANI KUHUSU BERNARD MEMBE
![](https://1.bp.blogspot.com/-huOb9ZE0JCo/Xl1kq-7baXI/AAAAAAALgeE/0vV7kKWzcBAkHJ2p4Cbi_qgzfM73CvFZgCLcBGAsYHQ/s400/MEMBE.jpg)
MWENYEKITI wa Umoja wa Wanaharakati Wazalendo Siasa Tanzania(UWASAT) umevitaka vyama vya upinzani nchini kuwa makini na aliyekuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Bernard Membe ambaye kwa sasa amefukuzwa kwenye Chama hicho.
Kwa mujibu wa UWASAT ni kwamba huenda Membe ameondolewa CCM kama mtego kwa wapinzani na hivyo iwapo wataamua kumchukua inaweza kusababisha upinzani nchini kumalizwa kwa urahsi zaidi.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Umoja huo...
10 years ago
Mtanzania13 Aug
Watanzania waishio nje watuma ujumbe Bunge la Katiba
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
Na Debora Sanja, Dodoma
WATANZANIA walioko nje ya nchi, wametuma waraka maalumu kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.
Katibu wa Bunge hilo, Yahya Khamis Hamad, alisema raia hao wameomba waraka huo ujadiliwe na wajumbe wakati huu ambapo mchakato wa kuandika Katiba unaendelea katika kamati.
“Raia walioko nje ya nchi, wametuma waraka maalumu ambao waliomba ujadiliwe ndani ya kamati kuhusiana na uraia...
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Salamu kutoka kwa Rais Magufuli kwa waathirika wa ajali ya December 18 Iringa..
December 18 2015 nilikusogezea ripoti kutoka Iringa Tanzania, ilihusu ajali ya basi la abiria la Kampuni ya New Force Ltd ambalo lililongana na lori la mbao lilibeba mbao kutoka Njombe kwenda Dar es Salaam… watu 12 walifariki na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ametuma salamu […]
The post Salamu kutoka kwa Rais Magufuli kwa waathirika wa ajali ya December 18 Iringa.. appeared first on TZA_MillardAyo.