Maximo muziki mnene

Kocha Marcio Maximo. Hans Mloli na Wilbert Molandi WAKATI Gazeti la Championi linaanza kuripoti juu ya ujio wa Kocha Marcio Maximo mnamo Mei 24, ambapo pia ndiyo lilikuwa gazeti la kwanza kabisa kuripoti juu ya Mbrazili huyo kuja nchini kuinoa Yanga, ilionekana kama ni ndoto, hatimaye neno limetimia. Maximo, kocha wa zamani wa Taifa Stars, amerejea nchini jana, maalum kwa kazi moja tu, kuinoa Yanga, tukio ambalo limepokewa kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MUZIKI MNENE KIBAHA


93.7 EFM yajinyakulia ushindi baada ya kuwafunga kibaha veterans mabao mawili kwa moja, katika mchezo uliochezwa mwishoni mwa wiki katika uwanja wa Tamco kibaha, Mechi hiyo ni baadhi ya mechi zinazoendelea baina ya EFM na timu mbalimbali za wasikilizaji wake, Kupitia kampeni ya Muziki mnene bar kwa bar .Burudani haikuishia hapo, baada ya mechi hiyo shangwe ziliendelea ndani ya kibaha kontena. Ilikuwa ni bandika bandua ya ngoma kali kutoka kwa Rdj’s wa 93.7 EFM na shamra shamra kutoka...
10 years ago
Michuzi
MUZIKI MNENE BAGAMOYO




Muziki mnene bar kwa bar ulipambwa na kabumbu kati ya EFM na Bagamoyo veterani ambapo Bagamoyo veteran waliibuka na ushindi wa bao moja huku EFM wakiambulia sifuri.
Tangu...
10 years ago
Michuzi
MUZIKI MNENE NDANI YA KISARAWE
Baada ya mechi hiyo burudani ya aina yake iliendelea ndani ya Tausi bar, huku Rdj’s na watangazaji wa EFM wakishikilia usukani wa burudani hivo kuwapagawisha ...
10 years ago
Michuzi
MUZIKI MNENE BANGO MBEZI



10 years ago
Michuzi
MUZIKI MNENE BANGO KIMARA




Bwana E anapokutana na shabiki wa 97.3 EFM...
10 years ago
Michuzi
Muziki Mnene bango Tegeta




10 years ago
Michuzi
MUZIKI MNENE BANGO BOKO

10 years ago
Michuzi
MUZIKI MNENE NDANI YA BUNJU
9 years ago
Michuzi